Playboii✞︎
@maganjih__
Trying not to fall off the edge
Sometimes I wonder if Karma really exists or it's just an illusion
kuna pastor amekam ku hubiria waras, imebidi yeye ndio atoe sadaka
nikikufa msee wa mutura apewe mara zangu atajua kitu ya kufanyia
There's always that uncle from your father's side who has managed to survive with alcohol since you were born
Sikuizi kila mtu ako na stress hadi mzazi anapick simu kama ameclick
Locker yangu ya highschool ilikua imepigwa graphati kushinda hizi Mood mnasema huku
Ukipatana na mwisilamu akitoka choo na kasuku unaeza kubali handshake😭😂😂😂😂😂
After kurudi mtaa nlipata my primary classmates karibu wote ni ma pedi
Maisha inaeza kuwa inanipepeta but atleast siko na insecurities na mama nyumba, a very loyal woman this one.