Kabigwa_Afya💊
@kabigwa_78
HEALTH •||• Sexual & Reproductive Health •||• FitNess & WeLL Being •||•
UNAFAHAMU UNAWEZA KUJIKINGA NA VVU NA UKIMWI? Kutana na PrEP na PEP..! 🧵👇🏾


SUFURIA NI NZITO MNOO, ANGALIA HUO UPINDO WAKE ULIVYO MNENE📌 ZOTE 4 TSH 40,000 KUBWA INABEBA 2KG 0755 693 113 📍ZIPO DUKANI UBUNGO EXTERNAL, MKOANI NATUMA @Sativa255 @nyuki_malkia
NINAZO HAPA DUKANI TSH 25,000 0755693113 📍 UBUNGO EXTERNAL MIKOANI TUNATUMA
Yule Malkia anayeuza Vitumbua Arusha kumbe anasomesha watoto kwa biashara hiyohiyo, na mwezi wa 9 anampeleka mtoto wake Chuo huko Malaysia! Kachangiwa 5M na RC, sema Vitumbua kumbe vina hela hivyo🙌🏾
Hii ajali imetokea jioni hii mkoani Mbeya kwenye ule mteremko wa Nzovwe hadi kwenye daraja la Iyunga pale. Hii ajali inahusisha magari manne daladala mbili na lori mbili na watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha. Taarifa kamili itatolewa baadae na mamlaka husika. Poleni sana
Usikimbilie kutoa hukumu bila kufikiria mara mbili. Maneno yanayotoka mdomoni ni kama mishale, mara yanapofyatuliwa, hayawezi kurudishwa. Tulia, sikiliza, na sema kwa busara ili usijutie baadaye.
#UZI 💨 UMEPOTEZA PICHA ZAKO MUHIMU KWENYE SIMU YAKO? 📸 1. “Ulipoteza picha zako zote? Angalia hapa zilipojificha.” Watu wengi huamini kuwa wakifuta picha kwenye simu, basi zimepotea kabisa. Shuka 🧵🧵👇
Kuna Huyu janja anaitwa Max Dowman 🙌🏾 ana miaka 15 tuu, A promising Talent pale Emirates.
📸 Pichani ni Maurice Tillet, Ambaye anadhaniwa kuwa ndiye chanzo Cha kuzaliwa Kwa Character ya Shrek (Animation). Maurice alikuwa mwanamieleka aliyezaliwa nchini Russia mwenye asili ya Kifaransa ambaye alipata umaarufu miaka ya 1940 kutokana na mwonekano wake wa kipekee
Umewahi kufikiria kununua tiketi ya SGR 🚆 kwa simu halafu ukajikuta unapewa tiketi ya BURE na zawadi kibao? Kwa kutumia @CRDBBankPlc SimBanking App au kupiga *150*03#, unaingia kwenye dunia ya urahisi na mshiko! 1. Lipa tiketi za SGR 2. Fanya miamala zako zote 3. Shinda IST…
CHALLENGE ACCEPTED: BACK BENCHA taja mstari wowote wa BIBLIA ulioweka kichwani ambao unaweza kuutaja bila hata KUUSOMA kweny BIBLIA. Mimi: 👇🏿 Zaburi 71:1 "nimekukimbilia wewe Bwana nisiabike milele"
Vitunguu Swaumu Mnavichukulia Poa Tuu, Lakini kama utameza Punje 2-3 Kila Siku, Nakuhakikishia Ndani ya Wiki 2 Tu Utaanza Kuona Mabadiliko
Uzima, Afya na Ujana Visitufanye Tuone Kumwabudu Mungu ni Ushamba!
Perfume za kuvutia kwa wanaume zitakazowafanya wanawake wageuze shigo ukipishana nao 1. Dior Suavage. 2. Creed Aventus. 3. Paco Rabanne 1 mil 4. Gucci Guilty 5. Club de nuit 6. Ombre Nomade 7. Yves Saint Laurent 8.Dior Homme Intense 9.Gentleman Givenchy 10. Gisada 11. Barcode
Baada ya Viktor sasa twende kwa Eze/Rodrygo hapo kazi kwisha.
Chief kumeza ama kutafuna 🤔
Vitunguu Swaumu Mnavichukulia Poa Tuu, Lakini kama utameza Punje 2-3 Kila Siku, Nakuhakikishia Ndani ya Wiki 2 Tu Utaanza Kuona Mabadiliko
This is where you need to be. Viktor Gyökeres is a Gunner ✊ Narrated by Kojey Radical 🎙️
Lile Li dokta Linasema Masaa 24 Hayatoshi kwenye Shughuli Zake, Linataka siku iwe na Masaa zaidi ya 24 😅
Muhimu SANA kaka, Hata ile ya Veyula pale nayo Muhimu SANA!
Foundation ya Msalato muhimu