fr@nk™️
@frank_thegrim
God first 🙏 follow me I follow back ASAP 😁
Mangai, yaani loyals mmeamua hamtaguza pinned nifike kwa vaite 😭😭
Masaa ya jaba inafikanga naanza kutingika mikono, shida inaeza kuwa gani ?😂😂😂
"Uskii hata hizo Mali za Juja hazishiki kitu" 5 minutes later: 👇👇👇
Kuna dem ameniosha mbao na kitu neza waambia stay away from wimenz😭😂😂💔
Lakini wenye tulipita shule ni kama mihadarati ilikua imengoja tumalize tu hivi
Kuchoma rooftop ni tamu lakini ushajaribu hizi unfinished buildings.
Bookten was offered 2M to take off his gloves but he turned down the offer
Napitia my old folder napatana na picha zingine dah🤣🤣🤣. Document your life, guys 😂
Huku ushago siku ikiisha unakuanga umekunywa chai birika kama tatu solo😂😂🤦🏾♂️
Watu wenye walikua wanauana kwa bible pia walienda kwa shetani🤔🤔?
Weekends bila football zimekua boring asf wacha ligi ianze bana