Walaga
@beingwalaga
In His will is our Peace | Loyal father to ELNATHAN | @LFC & @SimbascTanzania ❤️ | Team Capricorn ♑
🧵 Thread ya Catherine Ruge alivyoshambuliwa baada ya kusema amelijenga Jimbo kwa Jasho na Damu. Mashambulizi ni mengi 😂😂😂 #WednesdayVAR
JINSI AINA YA DAMU YA MUME NA MKE INAVYOWEZA KUSABABISHA MIMBA ZIWE ZINAHARIBIKA KILA MWANAMKE AKIBEBA MIMBA Swala la kuharibika kwa mimba limekuwa jambo la kawaida kwani husababishwa na mambo mbalimbali yakiwemo matumizi ya madawa ya kemikali,kazi mzito,ajari,n.k
Ready to go beyond slim? 🩵 like this post for updates and join us on May 13, 2025 to check out the slimmest Galaxy S Series ever. #GalaxyAI #GalaxyS25 Edge
#AskofuBagonza(PhD) WASIOJULIKANA" Wana Nguvu. Rafiki yangu mmoja huwa anaanza na SITANII, Mimi naanza na TUACHE UTANI. Kiukweli, "Wasiojulikana" wana nguvu. Kwa nini? 1. Polisi hawawajui na wameshindwa kuwabaini.
Tata Joe Sinde Warioba is My GOAT. He once again showcased a Statesman he is. Joe Sinde Warioba is a G👊🏽
Ndg Mkika: 0786648511 ndiye dereva wa Noah nyeusi inayohusika kumteka Mdude, nimefahamishwa. Mpelekeeni salamu kwamba tunamhitaji Mdude kutoka hapo ofisi ya RC Mbeya saaa hivi bila masharti. Mdude sio mhalifu & he should be set free NOW!!
Sasa mtu ushasema ni marufuku halafu bado unaongezea "sio ombi" ili ututishe zaidi tuogope halafu hawa mbuzi mi niwalishe dagaa??😂🚮
Shwaaa, braids zimetolewa, hasira za nini tena? 😂😂😂 #SaturdayVAR
Siku 783 za penzi la Mtanzania 😂😂😂 #SaturdayVAR
Mpambano ni mkali, huku Yogi kule Rahma, zinachapwa nyingi 😂😂😂 #SaturdayVAR
Hakuna kelele inayoweza kufunika matokeo na juhudi hazidanganyi. #Good day Fam
Mwana bishoo kala kipensi hapa bar fresh anakula bia, dakika 15 mbele nakutana nae chooni anaongea na radio call…..maongezi yanaendelea kwenye radio call ile kukorima yeye ana comment kila baada ya muda “Taarifa” Nimejua kwanini hawa jamaa wakikutaka hawakukosi.