Then
@Thhenwhy
Najua mnauliza niko wapi niko kwa ndege naenda dubai kutafuta riziki😂😂
mimi ni vile tattoos ni Biblical sin otherwise saa hii ningekuwa nakaa nganya 😂🤚
Nani anataka nimpigie nimpee ma confession niko nazo moyoni sahi sahi..
growing up and watching your parents become less strict to your siblings is a different type of betrayal😭
Kuna dance moves unaonanga kwa clabu unajua kuna mtu atalala mteja😂😂
Ukinyimwa kama umevaa cd io cd unatupa ama unarudisha kwa kalatas utatumia siku ingine
Leo lala hata mapema si kubishana na masheto usiku😅🤚
Taxin imeripoti sijui niite Toxic Lyrikali Kenyan Kartel design ananipea vibes on vibes.
endeleeni tu kujipost huku, siku yako ikifika tutashuka na wewe kama nansenzz😂
Like ni watu hamnanga wa kuwalalia ama ni nini juu mnanisumbua btw.
Wepesi sai taxin imeziba maskio njugu nablend nikunywe kama uji😂😂