Seth ~ 🇰🇪🇰🇪
@SethElijah_
@SETH ELIJAH💥💥 ACTIVIST. Son of the soil😎 DM for business and promotions
My name is Seth Elijah, the Literature Mafia. Linguistic ambassador. English Connoisseur. The learned Knight 😄 let's go....... What about you ?
Uzuri ulimwarn 😂😂 the ball is on your coat now. Boy cook 😂😂
Unsolicited opinions from online prostitutes 😃🧑🦯↘️
Mid recognises mid 🥲😂
Critical thinkers mmespend 2 days talking about a woman who wouldn’t look your way even by accident 😂😂😂
A woman has called back someone that god himself called and ordained to take care of his flock.
Catholic priest resigns after falling in love
Shida yako ni kudhani I can be shy for this 😂🤣🤣 bois mimi self esteem yangu hukuwa juu mbaya.
I told you guys ni njaa tu husumbua hawa watu This idiot ameniwekea number nimtumie pesa after insulting me smh 😂😂😂 Iza bro Mimi sio Baba yako lol
We will be there to judge and cook 😁😂😂🤣🙌
Day ntatoka faceless my goose will be cooked 😂
Sisi hapana tambua boundaries 😂😂 tunarusha missile after another
Mimi Kuna time nilijipost apa some stupid ladies wakasema nakaa goon. I laughed and moved on sikuweka feelings and emotions 😂. Leo naona she's been cooked like never before,Sasa ameanza kuplay victim that she's a lady 🤣. Gender card won't matter here. WAR IS WAR!
Na simps last warning ⚠️ wacha kuchocha madem huku tl ety wako solid 10 ona sasa damage mnacause 😂🙌
This app!! How do you call someone a "top candidate for a lunatic asylum" Wueh! 💀
Ety timeline favourite babes 😂😂 huku tl jua tu uko pekeeako,ile siku utakuwa unapikwa hapa ndo utajua huna marafiki 🙌
Before utusi our favorite timeline babes jiulize ivi "mamangu, dem ama sister" anakaaje?
That will forever remain Goated!!! You will never see that thing again.
Lakini Miguna miguna ku swear-in raila kama president was a peak gangsta moment
Hawa ndo wale backbenchers umesema 😂🤣🤣🙌
Ngulusumu Girls' High school 😂🧑🦯
In fact if I was the president today I could have already hanged these guys as we speak. Can't tolerate such nonsense.
Msifall kwa hii stupidity. Hapa mtakuwa branded as militias and no court/lawyer in the world will save you from prison.
Leo kuna mtu ameitwa: 1. Quickmart Tyla 2. Konate/Nico Williams 3. Makokha 4. IShowSpeed Na siku ndio imefika nusu😂😂😂mnanichokeshanga sana.
Makeup imesaidia enyewe 😂😂 yaani unaeza futa urembo ya mtu na kitambaa 🙌🤣
And the list goes on and on.....
Lakini mbona muite Njoki, "Konate" 🤣🤣🙌 Do you'll mean beauty inachezea defence 😂😂
Nimeona mkiita Njoki Konate nikakumbuka pia mshaiita ex-wife ya Mbiti IShowSpeed 😭😭you didn't miss, but it was very unethical 💀💀
Nakumbuka wakikuambia unacheka kama punda na huwa unamwaga mate ukibonga, na hujawahi deactivate. You really have a thick skin😭🫡
Huku watu hupikwa juu ya vile wanakaa, as if kesho wataamka wakikaa tofauti. It takes thick skin to be on this app mangai 😂
Fanya kila kitu lakini usikose jersey ya Harambe stars…3rd tunakuja na uniform Congo watatushow poa #CHAN2024
Ruto alikuwa ametunyima raha bana 😂😂 we're now back like never before. Cooking right,left and centre.
Ni kama Prime Twitter is back😂😂😂😂😂