Peter Madeleka
@PMadeleka
Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers
Ndugu JOHN ROBERT RUPIA anaungana na Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia kutaka HAKI ISIPINDISHWE KWA PESA KIDOGO 👇

Marehemu Rais JOHN MAGUFULI aliwahi kuwatuhumu HADHARANI baadhi ya MAJAJI kwa KUPOKEA RUSHWA na akakubali KUJIUZULU kwao 👇

Kitendo cha JOHN ROBERT RUPIA kupeleka “NOTICE OF APPEAL” dhidi ya KESI hiyo👇,kwenye MAHAKAMA YA RUFANI, na akampa NAKALA mjibu maombi, KILIMUONDOLEA MAMLAKA Jaji wa Mahakama Kuu kuendelea KUSIKILIZA KESI. Lakini kwa sababu ANAZOJUA YEYE, ALIFUTA Kesi hiyo tarehe 22 Julai 2025.

Nitapambana hadi dakika ya MWISHO kuhakikisha wote WALIOKULA RUSHWA ili JOHN ROBERT RUPIA akose HAKI yake, wanapata AIBU na KUKOSA MAANA kwenye jamii.

Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia ANAKERWA NA RUSHWA ambayo kimsingi, ndiyo inamfanya JOHN ROBERT RUPIA akose HAKI Mahakamani.

Katika historia ya DUNIA, ni Tanzania pekee ambapo JAJI wa Mahakama ya Kuu anaweza KUFUTA KESI ambayo ipo MAHAKAMA YA RUFANI. Chini ya kifungu cha 59(1)(a) cha Sheria ya Ushahidi, JAJI anapaswa kuchukua “JUDICIAL NOTICE” ya uwepo wa “NOTICE OF APPEAL” na Mamlaka yake YAKAKOMA.

Leo tarehe 21 Julai 2025 Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar Es Salaam-KISUTU mbele ya Hakimu FRANCO KISWAGA, imekubali HOJA ya Wakili PETER MADELEKA kwamba Benki ya ICBL ilifungua OVYO shauri la UTEKELEZAJI Namba 2625/2025 dhidi ya CHRISTOME TEMBO na hivyo, LIMEONDOLEWA.

Nakubali 💯💯
Nakubaliana kabisa na Mhe. TAL kuhusu suala la kususa na kumuachia Mungu kila kitu. Amesema: “Nchi haikombolewi kwa maombi. Haikombolewi kwa kupiga magoti na kumuomba Mungu. Nchi inakombolewa kwa MAPAMBANO!’ Mnanielewa???? Kama mnaogopa, basi MSILALAMIKE! Sawa-sawa? Mimi…
Mheshimiwa TUNDU LISSU na Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN, wakifurahi kwa pamoja walipokutana UBELGIJI. Siasa SIYO UADUI. Ni muhimu sana LISSU atendewe HAKI kwa mujibu wa SHERIA.

Leo tarehe 17 Julai 2025 safarini kuongea na MATAJIRI wa MBUGANI SERENGETI - SERONERA.
