Munga
@Mu_nga_
King of parodies influencer number 1 Chelsea fan Huku nje hatuogopi malaria tunaogopa kelele mbu💯🤣
Millicent akikupea unaeza omanga hizo corrupty cheeks?
Wakadinali walitukosea sana venye waliacha kutoa new episodes za ile podcast yao ya Real Raw and Rare.
Huko greenapp nimepikwa na marafiki kaa nansenzzz 😭😭😌. Enyewe acha nifocus na supu
Dem yako ameingia kwa mat hapa bila make up tulikuwa tunadhania yeye ndiye makanga.💀💀💔😂
You are the author of your own story ,let no one underestimate your writing skills !
Nmepatana na kiwete mwenye ni kiziwi bado nikajua ni la mkuu hakuskia😂😂
kama ww n mgeni kwa chudai streets utadhani alicia ndio the best water bender😂
Ukiona umejaribu kila kitu na huomoki..try kupata mtoi Sometimes kids come with good fortunes
Mpesa inadhani natumia cash,, cash inadhani natumia mpesa,,,hali si hali tena😫
And then sasa kuna hii mbogi huwashia sigara kejani maan wtf bro???😑😑😂😂
efootball kuna bois amenigusia like prime barcelona,first half imeisha 4-0 nikajua huyo bois hajaona matiti ii mwaka
Kuna wenye wanareply instantly alafu kuna wewe mwenye unataka kusukwa in the name of love utakula vumbi