Maalim Seif Foundation
@MSSHFoundation
Founded 2021. Our mission is to help build #peaceful, #democratic and #resilient societies.
"Siasa haikuwa chaguo langu la awali, lakini baada ya kuingizwa kwenye siasa, nilitokezea kuipenda. Hiyo ilitokana na wito niliokuwa nauhisi ndani ya nafsi yangu wa kuona nchi yetu inahitaji mageuzi. Na nadhani kuingizwa kwangu kwenye Baraza la Mapinduzi na kwenye vyombo vya juu…

Shairi hili nilitunga kipindi cha msiba wa kipenzi chetu Maalim Seif. Shairi hili limo katika Diwani ya Ahadi Iliyotimizwa ukurasa wa 23. Rabi Mpa Kivuli Seif Uliyeumba mauti, Na siku ya kufariki, Ninakuomba kwa dhati, Njia yake ibariki, Si mwingine ni hayati, Seif mpenda haki.…
Maalim Seif Sharif Hamad na Zitto Kabwe walipokutana kwenye Mkutano Mkuu wa Democrats, uliofanyika Philadelphia, nchini Marekani tarehe 26 Julai, 2016.

Mwanafalsafa wa Ufukwe wa Zanzibar Katika visiwa vya karafuu na bahari ya buluu, Ambapo historia hunong'ona bila kuvunjika mwiko, Alisimama mtu wa hekima na ujasiri wa kweli, Maalim Seif Sharif Hamad, kipenzi cha wengi. Alizaliwa chini ya kivuli cha mnazi, Zanzibar, ndipo…

The Sage of Zanzibar's Shore In the Isles of clove and azure seas, Where the whispers of history breathe, Stood a man of wisdom, courage, peer, Maalim Seif Sharif Hamad, revered. Born beneath the swaying palm’s shade, In Zanzibar, a patriot was made. In early years, his path…

"Struggle needs perseverance; it needs commitment and determination." "Mapambano yanahitaji uvumilivu; yanahitaji kuwa na dhamira na ushupavu." - Maalim Seif Sharif Hamad London, 10 Disemba, 2018

Taasisi inayoenzi maisha ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwanasiasa aliyevitumikia enzi ya uhai wake vyama vya siasa vya CUF na ACT wazalendo Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, imeeleza kusikitishwa na kifo cha Pheroze Nowrojee, Mmoja wa mawakili wabobezi na…
We have received with great sorrow the news of the passing of Pheroze Nowrojee, one of the lawyers who courageously volunteered to defend Maalim Seif Sharif Hamad when he was arrested, detained, and charged with possessing classified government documents in Zanzibar in 1989.…

Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Pheroze Nowrojee, mmoja wa Mawakili waliyojitolea kumtetea Maalim Seif Sharif Hamad wakati alipokamatwa, kuwekwa kizuizini na kufunguliwa mashtaka ya kukutwa na nyaraka za siri za Serikali #Zanzibar mwaka 1989. Pheroze…

Tribute: Remembering Shaka Ssali We are deeply saddened by the passing of renowned journalist and broadcaster Shaka Ssali, the voice behind Straight Talk Africa on Voice of America. We fondly recall his close friendship with Maalim Seif Sharif Hamad, whom he once hosted on his…

"[Uamuzi wa kutufukuza CCM] ulifanywa mnamo saa 6 usiku, kwenye mkesha wa kuamkia tarehe 27 Ramadhan, ambao Waislamu wanaamini ni usiku mtukufu. Kwa mujibu wa Qur'an, ni usiku wa cheo [Laylatul Qadr], na ukifanya jambo lolote jema kwenye usiku huo, basi huwa ni sawa kama…
![MSSHFoundation's tweet image. "[Uamuzi wa kutufukuza CCM] ulifanywa mnamo saa 6 usiku, kwenye mkesha wa kuamkia tarehe 27 Ramadhan, ambao Waislamu wanaamini ni usiku mtukufu. Kwa mujibu wa Qur'an, ni usiku wa cheo [Laylatul Qadr], na ukifanya jambo lolote jema kwenye usiku huo, basi huwa ni sawa kama…](https://pbs.twimg.com/media/GnBxKKqWwAAStzS.jpg)
![MSSHFoundation's tweet image. "[Uamuzi wa kutufukuza CCM] ulifanywa mnamo saa 6 usiku, kwenye mkesha wa kuamkia tarehe 27 Ramadhan, ambao Waislamu wanaamini ni usiku mtukufu. Kwa mujibu wa Qur'an, ni usiku wa cheo [Laylatul Qadr], na ukifanya jambo lolote jema kwenye usiku huo, basi huwa ni sawa kama…](https://pbs.twimg.com/media/GnBxKKnW4AAWBB5.jpg)
#MaalimSeif alikuwa ni alama na nguzo kubwa kwenye siasa za #Zanzibar na #Tanzania. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu utakuwa uchaguzi wa kwanza tangu kurudishwa mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 utakaofanyika bila ya kuwepo #MaalimSeif. Unadhani hilo litakuwa na athari ipi?

It is not titles that honour men, but men that honour titles. #TheUnforgettable #MaalimSeifLegacy

Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Hayati Seif Sharif Hamad #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
Mwanasiasa wa Miraba Minne, licha ya kufariki dunia, Zanzibar ina mzizimo wa kifo chake: 2025 Uchaguzi Mkuu wa kwanza bila ya Maalim Seif Sharif Hamad #MaalimSeifLegacy


17.02.2021 - 17.02.2025 Ni miaka 4 tokea ulipotuacha na kurejea kwa Mola wako. Tutakukumbuka na kukuenzi daima.

