Lydia Charles
@Lydiacharles_
Founder & Executive Director @herinitiative @pandadigitaltz |Communications strategist| Feminist | Economic Empowerment | Financial Freedom|
Oh Jesus! My heart is full of worship🙏🏾 Living and breathing to see a world full of possibolities for girls and young women like me. Thank you @GlblCtzn for making my story my Glory. Truly humbled. Many thanks to my mom, my pastors, my team @herinitiative and to my bestfriends❤️
Mwaka 2021 tulipitia kipindi kigumu, na kiongozi wetu @Lydiacharles_ aliandika barua kwa wadau wa maendeleo: “Put Your Money Where Your Words Are.” Barua hiyo iliamsha tena jitihada zake na kuleta mwelekeo mpya. Tariq Salim, #MiaKwaVijana
"Mwaka 2021 tulipitia kipindi kigumu, na kiongozi wetu @Lydiacharles_ aliandika barua ya wazi kwa wadau wa maendeleo yenye kichwa cha habari: ‘Development Partners, Put Your Money Where Your Words Are’.
Asante sana @Lydiacharles_ 💜 Here’s to the next chapter of empowering young women across Tanzania!
Dear UN Women Happy 15th Anniversary . I remember @herinitiative early days where we had no support you but you listened, advised, enhanced visibility of our work and resourced our ideas. Thank you for paving a way for young women leadership in the country. #UNWomen15
Young people are leading change! Our partnership with @herinitiative demonstrates the power of youth-driven action in advancing gender equality and women’s empowerment. UN Women remains committed to supporting innovative solutions led by young women that address today’s…
Young people are leading change! Our partnership with @herinitiative demonstrates the power of youth-driven action in advancing gender equality and women’s empowerment. UN Women remains committed to supporting innovative solutions led by young women that address today’s…
Lydia Moyo, a 2023 Mandela Washington Fellow, is leveraging networks built during her fellowship at Kansas State University to boost economic and leadership opportunities for young Tanzanian leaders. Her organization, Panda Digital, recently launched the Stawi Lab adaptive…
Asante sana ubalozi wa Marekani kwa kuwekeza kwa vijana kama mimi. #Yali2023
Lydia Moyo, mshiriki wa Programu ya mwaka 2023 ya Mandela Washington Fellowship, anatumia mitandao aliyoijenga wakati wa ushiriki wake katika Chuo Kikuu cha Jimbo la Kansas ili kuimarisha fursa za kiuchumi na uongozi kwa viongozi chipukizi wa Tanzania. Shirika lake, Panda…
YESS! We did it! 🎉🙌🏾 OMOM Tanzania is proud to be 2nd winner of the StawiLabGraduation, receiving a 3.8M TZS seed grant! 🔥 Huge thanks to @herinitiative, @Lydiacharles_& @TZWaziriMkuu for the support. We’re just getting started the work continues and the vision grows stronger
Wacha tu tune In Sentro ya @CloudsMediaLive tupate mawili matatu kutoka kwa @Lydiacharles_ na @herinitiative
Miaka 6 iliyopita, @Lydiacharles_ aliacha kazi ili kufuata wito wake: kusaidia wasichana na wanawake vijana wa Kitanzania kujikwamua kiuchumi. Leo, juhudi zake zimewafikia zaidi ya watu 31,000 kupitia @HerInitiative. Safari yake ni ushuhuda wa ujasiri na imani. #MiaKwaVijana
"Mradi wa Stawi Lab unalenga kuimarisha mashirika ya vijana yanayopigania haki za wasichana. Tangu uanze, mashirika 38 yamenufaika, 14 yamepata ufadhili mpya, na maelfu ya maisha yamegusa. Huu ni ushahidi kuwa vijana wanaweza" @Lydiacharles_ @herinitiative #MiaKwaVijana
"Changamoto kubwa kwa mashirika ya vijana ni ukosefu wa rasilimali, masharti magumu, kukosa uaminifu na maarifa ya mifumo. Lakini 100% ya washiriki wa Stawi Lab wameimarika, kutoka mifumo ya fedha hadi utawala bora" @Lydiacharles_ @herinitiative #MiaKwaVijana
Mkurugenzi wa @herinitiative @Lydiacharles_ ameiomba serikali: 1️⃣ Waalike vijana kwenye meza ya sera 2️⃣ Wapunguze urasimu kwa mashirika changa 3️⃣ Waunganishe sekta binafsi na vijana 4️⃣ Wawekeze kwenye utafiti na ruzuku Serikali ikishirikiana na vijana. #MiaKwaVijana
"2021, @herinitiative ilikuwa karibu kufungwa. Hakukuwa na fedha wala wadau waliokuwa tayari kusaidia. @Lydiacharles_ aliandika barua ya wazi: "Put Your Money Where Your Words Are". Barua hii iliamsha mjadala wa ukweli kuhusu ufadhili kwa vijana" #MiaKwaVijana