Mambet
@Kipchololong
Nurse||Poultry farmer
If your man can't afford your bills, then you need to find a job not another man.
Story ya kuniuliza "how is Kenya?" Juu uko majuu muache Kenya ni ya kasongo
Wanaume ni wengi sana ukitaka kusettle na mwenye hua anangoja deal iivane Kila wakati shauri yako.
Vile majamaa wa highschool watakuangalia ukiwaita Wepesi badala ya "Mzito"
Lunch hour Gain Time ,Leteni Handles Tuinuane wadau Drop now💯✔️
Mzazi akiacha mtoto Kwa duka na hajui bei inageuka kuwa black Friday 😂😂
Wameanza kugombana. The tower of Babel is coming down. The blood of young people butchered by this regime will haunt these MFs to death. Na Bado! #RutoMustGoNow #DrainTheSwamp
Nlikwa naambiwa mtu Stori hapa alfu ata hajaskiza akaniambia niache tabia ya gachagua 🥹anamaanisha Nini....
Kuna dem amekua ananisalamia for the last 3 days, kesho namuqmbia akuje kwangu na hiyo salamu 😹😹