Muleba
@JMagobe06
CRDB 915 TZS NICO 1,075 TZS Kununua hisa 10 za CRDB inakuhitaji utumie 9,150 TZS Kununua hisa 10 za NICO inakuhitaji utumie 10,075 TZS Si kipindi kirefu, itakubidi ununue hisa 10 za CRDB kwa 91, 500 TZS Vilevile 100,750 kwa upande wa NICO Maamuzi ni yako.
Kanisa katoliki limewapa UKUMBI waumini wa Askofu Gwajima. Sasa Yule mcheza PORN mkuu wa wilaya ya ubungo aje kanisa katoliki kuleta kichaa chake. 🫵🤣 Asante sana kanisa KATOLIKI hakika hili ni kanisa la Mungu. Naomba wakatoliki na waumini wa Gwajima tufurahie huu ushindi hapo…
Kanisa limeamua kuungana kwenye hili la ASKOFU GWAJIMA. Mwenyekiti wa umoja wa maaskofu wa makanisa ya KIPENTEKOSTE (CPCT) TANZANIA ASKOFU DR VERNON FERNANDEZ ametoa WEEK MBILI makanisa yafunguliwe. Huyo Mcheza PONO WA UBUNGO si anajifanya anaweza kushindana na kanisa. Sasa…
Akili yako ni misuli, leo ifundishe kufikiria mbele. Andika majibu ya swali hili “Mwaka mmoja kuanzia leo ningependa kuwa wapi kimaendeleo akili, fedha, tabia, kipato Na nitafikaje huko? Lengo ni kufundisha ubongo kufikiri kimkakati na kwa picha ya mbele
Kiu ya TAJIRI ni kusaka taarifa na maarifa sahihi kwa gharama yoyote Kiu ya MASIKINI ni kutafuta taarifa za matukio yanayomfraisha kwa muda mfupi na swala la MAARIFA kwake halimuhusu. Na mfumo ndo umekuekea taarifa nyingi za kuku- garbage akili yako. Be wisely.
REFORMS will bring sanity REFORMS will bring accountability REFORMS will bring transparency REFORMS will bring justice REFORMS will bring rule of law REFORMS will fight corruption REFORMS will decentralize power REFORMS will strengthen democracy NO REFORMS, NO ELECTION.
Kafara ya kuhairisha maamuzi makubwa itoe mapema kabla haijakutoa wewe. Fanya maamuzi magumu sasa •Anza hiyo biashara •Achana na tabia mbaya •Wekeza kwenye elimu ya fedha •Kuwa toleo bora zaidi ya jana yako •Ondoka kwenye mazingira yasiyokusaidia USIWE WA KAWAIDA.
Kila press aliyofanya @TunduALissu mwezi mmoja kabla ya kushambuliwa, Mwita Waitara alikuwa amekaa pembeni. Baada ya Lissu kushambuliwa, Waitara akaenda CCM na kupewa unaibu waziri. Tusishangae mashahidi wa ma box wakiwa watu ambao kwa muda mrefu wamekuwa watu wa karibu ya Lissu
#TajiriLaKihaya Hii Video naitunza hapa… NitaRepost na KuQuote Exactly 2yrs from now… 16/7/2027!
TAARIFA KWA UMMA SUBRA, SUBRA, SUBRA NIMERIPOTI POLISI KITUO CHA TARIME MJINI KWA MAHOJIANO. MAHOJIANO YALIHUSU KONGAMANO LA KITAIFA BAZECHA LITAKALOFANYIKA TAREHE 16/08/2025 TARIME MJINI. @HecheJohn @jjmnyika @ChademaTZ2 @jacksonmnyawam2 @lucas_ngoto
Kijana kama unasoma huu ujumbe anza kuwekeza mapema. Muda ndio kila kitu Wekeza kwenye hisa Wekeza kwenye biashara Wekeza kwenye ujuzi na maarifa Wekeza kwenye aridhi na majengo Thamani yako inapimwa na kile unachomiliki. BE VALUABLE
Kuna time nilifikiria kuacha copywriting. Nilikuwa naandika kila siku bila kuona breakthrough yoyote. Zero traction → Zero results → Ilikuwa depressing. Lakini leo nipo hapa bado naandika, bado nasukuma gurudumu. Na ukweli ni huu: Wanaofanikiwa ni wale wanaoendelea hata…
Account yetu imejitahidi sana kuinua morali ya wafanyabiashara wadogo na kuwatia moyo wale ambao bado hawajaanza. Tumeendelea kutoa practical tips za kuanza biashara ndogo kwa chochote ulicho nacho. Njia pekee ya kutusupport? Retweet na follow ili tuendelee kukua pamoja. 🙏🏽
Hatma ya maisha yako haipo mikononi mwa watu, historia au bahati ipo mikononi mwako mwenyewe, kupitia… -Mawazo unayoruhusu kichwani mwako -Imani unazojenga au kuamini -Maamuzi unayochukua kila siku -Mtazamo wako kwa matatizo, vikwazo, na fursa Master your FATE.