The brand wiz π»
@miracleboytz
Copywriter + Digital Creator β Helping Tanzanian creators monetize their content & build unforgettable personal brands, On a mission to Impact 500 lives.
Creators wengi Tanzania hawapotezi hela na nafasi kwa sababu hawana Vipaji... Wanapoteza kwa sababu hawana personal brand inayojiuza. Personal Brand yako ndio utambulisho wako mtandaoni. Ni tofauti kati ya kupuuzwa na kufuatwa au kulipwa. Nawasaidia creators kama wewe:β¦

Bro to bro code; Kwenye timelines za π wenye direction ndio wanafika mbali.
Self-trust ni capital ya kwanza kwenye journey ya kujenga personal brand.
Someone told me... Jenga jina lako kama vile unajiandaa kuingia kwenye biashara kubwa siku za usoni.
Mbona kama DIRA imeanza kuleta GIZA kwa vijana wa kule Kazakhstan?
Kama marafiki zako hawaongelei growth, pesa au purpose huna circle, una weight. Na hiyo weight ndio inakuzuia kuruka to the levels unastahili kuwepo.
Kuna watu nawafatilia kwa mentorship. Najifunza vitu vingi kutoka kwao, Tbh mimi ni mfaidika mkubwa wa kazi zao. Ila kitu nataka nikwambie leo ni kwamba: Unaweza kuwa na mentor mkali dunia haijawahi kushuhudia ila usitoboe kwenye mishe zako. Simply... Kama hauna njaa binafsiβ¦
Kujifunza skill mpya hasa online kama huna nidhamu binafsi ni mtiti kinoma. Utakua mtu wa kuhairisha sessions tu. That's why mwanangu @gabyconscious anasemaga paid mentorships zinakupa usongo flani long as umetoa madusko yako. Anyways kila mtu akomae na namna anaweza,tbh meβ¦
What small change could you make this week that your future self would thank you for? Well.... Acha nikuambie kitu kimoja mjomba: Anza kufanya journaling ya ideas zako kila siku. Hiyo notebook (App) itakuwa ramani ya ndoto zako miezi/Miaka kadhaa ijayo. Kuna siku mojaβ¦

Unaweza kuwa average lakini brand yako ikakufanya uonekane premium.
Huwezi kuwa creator mkali kama wewe ni consumer zaidi.
π si mahali pa kuonekana tu. Ni Platform ya kuonyesha thamani yako.
Unaweza usiwe viral leo, lakini unaweza kuwa valuable.
Acha kujitafuta kwenye likes. Jitafute kwenye impact. Source: trust me Bro ππ«΅πΎ.
π Scouts vipi napata team next season ama niaje? On my Individual Pre-season workout sessions ππ.