B
@Bendone_23
Bro Ushauri peleka kwa ukoo Yako.
Embu tunza Kesho utaniadithia vizuri 😁😂😅🙌🏾
Nikilipendaga nikiwa na miaka 20 huko na yeye alinipenda bila pesa na baada ya miaka 10 upendo uliisha kwa sasa siamini tena kwenye mapenzi bila pesa.😃
Huyo Demu hana Watu wengine zaidi ya mme !?
Real Talk..Hivi inakuaje MWANAUME unamkimbia manzi yako aliejifungua Hospitali? Yani unaenda nae kabisa na CCTV inakuona hadi anavyopelekwa OR kufanyiwa C-section then unakacha! Yule manzi hana nguo wala chakula, anafanya kupewa na Raia wa pale. Alafu kajifungua mtoto wakiume.
Wewe jama saivi ndo unaongiza kwa kulewa humu ndani 😂😁🙌🏾
Nimetoka kwenda kunywa supu ya mboriko nimerudi nimelewa😭😭😁
Inabidi nifanye hii kazi 😂
Uzuri wa mamantilie hatulali njaa kikibaki tunaishi nacho..kombe la maji usingizi mwanana 😂🤣🤣🤣
#TajiriLakihaya Walevi huwa wanatuona sisi tunaokunywa Maji na RedBull au Malta Club, kama masikini hivi- Hatuna hela😅😂
Leo imekuaje humu mbona chudai hazifungukii kabisa huyu Tajirii anatka tufe na nyege🚮