MWANAHISABATI
@ArthurGeil
Systems Thinker. Pentester. Digital creative. Living slow, coding sharp. Helping you heal. Virgo’s eye in a noisy world. 12:12
watu mnaotumia whatsapp kwenye pc zenu (namaanisha whatsapp web) muwe mnakumbuka ku-logout baada ya matumizi ili kuepuka na kudukuliwa (data leak) kuna bots nyingi sana whatsapp siku hizi.
Hawakupendi kwasababu hujipendi🙌🏿 plss love yourself❤️🤌🏿
Umevuka mengi kimya kimya. Toleo lako la zamani lisingevumilia haya yote. Leo unastahili heshima hata kama ni kutoka kwako tu. Jisifie, hata kwa hatua ndogo. Maendeleo ni maendeleo.
Watu wengine hawaji kukupenda, wanakuja kukutumia. Hawako kwako bali kwa faida yao. Ukishindwa kutambua hilo mapema utajikuta unapenda wale wanaokukamua na kuumiza wale waliokuja kwa wema. Lakini usihofu maumivu hufungua macho na kila funzo linafanya moyo kuwa na hekima zaidi.
Ukisema ulijaribu kadri ya uwezo wako lakini hukufanikiwa labda hukutumia uwezo wako wote. Maana nguvu ya kweli haikosi njia.
Muda mwingine watu huanza kukuona wa maana baada ya kukupoteza. Si kila anayekukumbuka ni ana nia njema na wewe wengine huja na uchu, si upendo.
Hakuna siku utaamka ukiwa motivated ya kufanya jambo fulani la kujiendeleza kibinafsi. Ipo hivo kwa sababu nafsi zetu zimeumbwa na tamaa ya kukaa kwenye comfort zone. Kila siku siku utaamka ukiwa na visingizio vya kuahirisha-ahirisha mambo. <Short Thread>
Upweke, Dharau, Kejeli na Kutokueleweka—ni Gharama Unayoilipa ili Kujitafuta na Kujipata! So Kama Upo Katika Hatua hiyo—Hakuna Kukata Tamaa Kila Mtu Mkubwa unayemjua sasahivi alikinywa hicho Kikombe!
- Soma vitabu - Angalia video Youtube - Sikiliza Podcast - Jiunge na kozi za mtandaoni - Soma makala kuhusu kile unachojifunza Lakini kumbuka kuwa njia bora ya kujifunza kitu chochote ni kufanyia kazi kile unachojifunza.
Mengine yafanye kuwa siri
Chunga sana sio kila kitu kilicho kwenye ubongo wako kinapaswa kutoka kwenye mdomo wako
Fursa nyigi zitakuja kwako utakapoacha kutazama picha na video za ngono.
am a billionaire
Being my girl rn is like investing in bitcoin in 2009
"Wanatangaza amani huku wameficha mapanga"🎶 ~Kipi sijasikia -Profesa Jay ft Diamond Platinumz