TONY ALFRED K
@tonyalfredk
MISFITS- I tweet my opinion, I #RT to read later.
🍞Utupe leo riziki yetu 🙏Utusamehe makosa yetu 🛑Utuepushe na Watekaji wa 4R
Wafuasi wa Mbowe wanataka Mnyika awe na kidaftari anapitia kwenye kurasa za mitandao ya kijamii anaangalia maoni mabaya na matusi kuhusu Mbowe, ananakili halafu awe anaitisha press kukemea muasisi wa chama kusemwa vibaya. Ni comedy.
‼️🚨POLICE BRUTALITY VICTIMS NEED URGENT CARE 🚨‼️ The only @ChademaTZ2 MP Aida Kenani had gathered some members at her home yesterday when the police invaded her home and brutally assaulted men and women then detained them whilst injured! Here are some 👇🏾 who were badly injured…
Sisi Warombo Ndo tutateseka zaidi maana Gokombaa yote ipo chini yetu
ANAANDIKA ALFRED SOTOKA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA. POLICE WASITUPE WATU KAMA WAMEWAUA TAARIFA KUTOKA RUKWA JIMBO LA NKASI KASKAZINI "KWA NYONGEZA NI KWAMBA, Nimepewa taarifa zaidi sasa hivi kwamba, Baadhi ya waliokamatwa Wamepigwa saana na Kuzimia na wengine wawili…
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wanaendelea na semina ya siku 21, kama unawiwa kutoa sadaka yako kuwezesha semina wameka namba hizo kwenye page zao

At 3 a.m., after four harrowing days in captivity, human rights defender Mwabili Mwagodi was dumped in a bush in Kinondo, Kwale County and forced to walk 3 km to Diani, where he managed to call his family for help. When he voluntarily presented himself at the Diani Police…
Proof of life, although he seems distraught, he is ALIVE!! Mwabili Mwagodi is with @VOCALAfrica_ now headed to hospital.
Waziri Husein Bashe. Serikali imenunua ndege kwa ajili ya kunyunyizia viuatilifu mashambani kwa gharama ya shilingi bilioni 6. Hii ni sawa na zaidi ya USD 2.3 milioni bei ambayo ni mara tatu hadi nne ya bei halisi ya ndege hizo sokoni.Kwa mfano, ndege maarufu kama Air Tractor au…
Hii chuki inayojengwa kwa Wakenya, kwa namna Watanzania wengi wanavyofanya kazi Kenya, hasa biashara ndogo ndogo inaweza kutengeneza kitu kibaya sana. Tayari minong’ono imeanza, ile ukifika ukitoa passport wanavyokuwaga wakarimu wanaanza kubadilika.
When he finally reached Diani, around 3am, @mwabilimwagodi actually thought presenting himself to the police will be a good thing so he voluntarily went to Diani Police Station. However while there, the police threatened him with arrest and detainment. They traumatized him…
They say there’s no starvation in Gaza” — while people are crushed rushing for a single bag of flour
Blaming the UN for "failure" to distribute food -- when the IDF blocked aid for months -- is one of the most cynical and disgusting lies I've seen. The UN entered with food on July 20. The IDF massacred civilians receiving it and shot at UN aid workers.
The food is there. Israel has brought in hundreds of trucks of aid that @UN isn’t delivering. Why haven’t you condemned Hamas for rejecting the ceasefire deal this week? Giving Hamas a free pass won’t stop the fighting, free hostages or surge aid. Your silence speaks volumes.
Urgent solidarity needed at Pandya Hospital, Mombasa where Mwabili is being treated‼️ Police have showed up in many numbers threatening and intimidating and the team there is calling upon more comrades in Mombasa to show up and support as they try to keep him safe while he tries…
Activist Mwabili Mwagodi found dumped in Kinondo area, Diani, taken to a hospital in Mombasa for a check-up, family confirms; his valuables stolen.
🙏🏽 We are grateful Mwabili has been released and he is ALIVE Abductions are uncouth and uncivilized! Shows a very low level of reasoning! @SuluhuSamia hii ni aibu kubwa sana! Na ni doa lingine kwako na genge lako la watekaji! 🚮
Activist Mwabili Mwagodi found dumped in Kinondo area, Diani, taken to a hospital in Mombasa for a check-up, family confirms; his valuables stolen.
VOCAL Africa demands Immediate release, legal access & protection for Mwabili Mwagodi, a Kenyan abducted in Tanzania. #FreeMwabiliMwagodi
BREAKING: IDF whistleblower says aid from 1,000 trucks was buried in pits or burned.
Mwabili Mwagodi’s sister is pleading for his release. She is demanding for answers on his whereabouts. #FreeMwabiliMwagodi