Abertus Paschal 🇹🇿𝕏
@rutaraka
𝙿𝚞𝚋𝚕𝚒𝚌 & 𝙳𝚒𝚐𝚒𝚝𝚊𝚕 𝙳𝚒𝚙𝚕𝚘𝚖𝚊𝚌𝚢 | #𝙿𝚛𝚘𝚞𝚍𝚕𝚢𝚃𝚊𝚗𝚣𝚊𝚗𝚒𝚊𝚗🇹🇿 | 𝙱𝚎𝚕𝚒𝚎𝚟𝚎𝚛 𝚘𝚏 𝚝𝚑𝚎 𝚄𝚁𝚃 | 𝚁𝚝𝚜≠𝚎𝚗𝚍𝚘𝚛𝚜𝚎𝚖𝚎𝚗𝚝𝚜
Nimewasalimu Wazee, nina amani!
A heavy ache gnaws at my chest as I prepare to visit my father’s grave soon. Words I’ve held inside churn restlessly, desperate to spill out to him. Gratitude stings my heart, sharp and bittersweet, for all he gave me. He was a towering, gentle soul—too good, too great…
𝗞𝗪𝗔 𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗠𝗜𝗔 99.8 𝗪𝗔𝗝𝗨𝗠𝗕𝗘 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗥𝗜𝗗𝗛𝗜𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗘𝗕𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗠𝗔𝗗𝗢𝗚𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠
𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗘𝗕𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗠𝗔𝗗𝗢𝗚𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔 Katibu wa NEC,Oganaizesheni Ndugu. Issa Gavu, akieleza baadhi ya vifungu vya katiba ambapo marekebisho madogo yanatarajiwa kufanyika kutokana na maoni ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum unaofanyika leo 26/07/2025
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26 Julai, 2025
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa Njia ya Mtandao unaofanyikia katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025
📍Kigali, Rwanda 🇹🇿🇷🇼 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. @mahmoudkombo (Mb), amekutana na Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame, Ikulu ya Kigali, Rwanda. Viongozi hao wameangazia ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Rwanda pamoja na matunda…



Happy birthday Dru, enjoy all the incredible rewards of the new floor🎈🎂 @Drudysseus
Julai 25 kila mwaka ni siku muhimu kwa Taifa letu, Siku ya Mashujaa, ambapo tunaungana kuwakumbuka na kuwashukuru wale wote waliotoa maisha yao kupigania uhuru na kulinda amani na heshima ya nchi yetu. Tunaendelea kuwaombea wapumzike kwa amani. Tunapowaenzi mashujaa wetu, sote…
During the 16th Joint Permanent Commission (JPC) held in Kigali, Rwanda, Tanzania and Rwanda signed two Memoranda of Understanding aimed at strengthening bilateral ties—one on Agriculture and another on the Establishment and Operationalization of the Tanzania Ports Liaison Office…
Tanzania na Rwanda Zaimarisha Ushirikiano kwa Kusaini Hati Mbili za Makubaliano Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda umefungwa rasmi jijini Kigali leo tarehe 26 Julai 2025, baada ya mawaziri…
Tanzania and Rwanda deepen ties! 🇹🇿🤝🇷🇼 FM @AmbKombo opens the 16th #JPC meeting in Kigali, highlighting key projects like Rusumo Power, OSBP & SGR. He calls for more collaboration in trade, ICT, energy & more. Rwanda FM @onduhungirehe hails 🇹🇿 as strategic partner, with 70% of…
WAZIRI KOMBO AFUNGUA MILANGO MIPYA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA RWANDA KUPITIA MKUTANO WA JPC KIGALI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefungua rasmi Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano…
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika Ofisi ya Ubalozi wa…
📷: The original manuscript of the United Nations Charter. The creation of the UN was the result of a global commitment to “save succeeding generations from the scourge of war." 80 years later, the UN remains essential for advancing peace, prosperity & human rights. #UN80
Authentication is key to our daily social and official/business transactions. We’ve come to rely on technology and primordial instincts to verify things. Artificial Intelligence, with all its benefits, will bring about almost incurable fraud crisis, per @sama CEO of @OpenAI.