Rabi Hume
@rabihume
Digital Content Creator || Social Media Coordinator, Photographer, Videographer & Drone Pilot - @simbasctanzania
Wa mwisho kucheka ndio hucheka zaidi. Time will tell Wanasimba wenzangu.


Heri ya siku ya kuzaliwa my boss & sister, @ZubbySakuru. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.




Taarifa kubwa kutoka kwa tajiri Mo Dewji leo saa 4:00 usiku. Tukae kwa kutulia sasa.


Ndoa haina hata wiki mbili leo ameondoka. Maisha ni safari yenye fumbo ambalo analijua Mwenyezi Mungu pekee. Pumzika kwa amani Diogo Jota.

Usiku wa kusherekea maisha mapya ya ndoa kwa ndugu zetu @ahmed__ally na Radhia Migomba. Mwenyezi Mungu awabariki na kuwatangulia kwa kila jambo. Ndoa ni jambo jema sana.

Safari ya msimu 2024/25 haikuwa rahisi lakini tumemaliza michezo ya nyumbani kwa ushindi.


Mabao matano halali kabisa dhidi ya KenGold. Asante Tabora tutaonana wakati mwingine 🙏🏽



Mkiniomba neno lolote kwa jina langu, nitafanya. Mkinipenda, mtazishika amri zangu. Yohana 14: 14-15.
Celebrating our first anniversary, and one beautiful reason to celebrate even more - our baby girl.


