OLOMY
@olomy13
Strategists || Creative Designer. #YouDeserveBetter
Join CareHealth @carehealth_tz at #THS2025 @TzHealthSummit and explore how they are reshaping healthcare in Tanzania, offering corporate wellness programs, home based care, and cross border medical tourism services to create healthier, more connected communities. #WellnessForAll

Great presentation by @BennSeverin at the @onehealth_tz learning panel discussion series that started yesterday. This one focused on Community Engagement for #OneHealth - barriers & opportunities. Many more to come from them. Follow them & aware of these learning opportunities
Life isn't about having the perfect hand, but playing a poor one well. This rings true for young people today. Don't wait for ideal circumstances; take action now. The world's challenges demand your collective power.
I had the privilege of attending the official launch of DIRA 2050 (Tanzania Development Vision 2050)—a landmark event that outlines the nation’s pathway to becoming a prosperous, just, inclusive, and sustainable country by the year 2050. I am honored to have contributed as a…
1. Ishi na watu 2. Ishi kwa uwezo wako 3. Kuwa mbinafsi kidogo 4. Kubaliana na matokeo Ukiweza ku control hivi hautapata shida ya Afya ya akili.
At the 12th Tanzania Health Summit @TzHealthSummit, ENCORE will showcase the advancing healthcare through the reliable supply of high quality medical equipment, pharmaceuticals, innovative solutions with a focus on integrity, excellence and service to the health sector. #THS2025

Matajiri wanaijua game ya mfumo ilivyo wao hawafanyi kazi kwa ajili ya pesa, ila pesa ndio zinaowafanyia kazi. Mfumo wa elimu umekuandaa kuwa mfanyakazi wa maisha yako yote. Mbaya zaidi mfumo hautaki uelewe utofauti wa ASSETS na LIABILITIES Mchezo wote umefichwa na MFUMO.
Very Important kwa ajili ya Short-term Obligations,moja ya Signs za kuelekea kuwa Broke ni kushindwa kuwa Liquid iwe kwa Kampuni au Individuals. Huanza kwa kushindwa kulipa Short-term Debts na kisha itahamia kwenye Insolvency yaani kushindwa kulipia Long-term Obligations.
Liquidity is underrated.
Ukiona mtu yuko kimya sio kwamba hawezi kuongea, Kuna muda unachoka kuelewesha watu wasiotaka Kueleweka.
As Coordinating Partner, APHFTA @aphfta1 helps improve Tanzania’s health sector by encouraging teamwork, raising care standards, and promoting new ideas. We are excited to have them at the #THS2025 @TzHealthSummit, where they inspire change and collaboration. #HealthInnovation

Asante University of Dar es salaam (Udsm) nimemaliza elimu yangu Leo tarehe 17/07 for years down at College of engineering and technology call me engineer emma🙏 please nipongezeni tu kwa kwel🌚🙌
Hongera Sana Kaka 👏👏
Asante University of Dar es salaam (Udsm) nimemaliza elimu yangu Leo tarehe 17/07 for years down at College of engineering and technology call me engineer emma🙏 please nipongezeni tu kwa kwel🌚🙌
"You must understand that there is more than one path to the top of the mountain." – Miyamoto Musashi
Fahamu zaidi kuhusu changamoto za afya ya akili kwa vijana. #ElimikaWikiendi
Iko Divided into three pillars 1.Uchumi Imara,Jumuishi na Shindani 2.Uwezo wa watu na Maendeleo ya Jamii 3.Uhifadhi wa Mazingira na Uhimilivu wa mabadiliko ya tabia Nchi Been reading it nimeona kuna ufungamanishwaji wa mifumo ya kidigitali na almost kila Sekta.
Siku muhimu sana leo, 1 trillion economy kufikia si mchezo. Dira ya Tz 2050 launching.
Julai 17 kila mwaka ni siku ya kimataifa ya Haki ya Kujihusisha na masuala ya jamii, ilianza rasmi mwaka 2010 ikiwa ni kumbukumbu ya kupitishwa mkataba wa Rome tarehe 17, Julai mwaka 1998 iliyosababishwa kuanzishwa kwa Mahakama ya ICC