NTV Kenya
@ntvkenya
LIVE STREAM: http://ntvkenya.co.ke/live _______ for breaking news @NTVnewsroom, @NTVSasa for Kiswahili updates. Follow us on WhatsApp: https://bit.ly/3Tkj7qE
Murkomen Kwa LSK: Makosa Ni Ya Ugaidi Waziri Murkomen akosoa wanaopinga kufunguliwa mashtaka ya ugaidi Baadhi ya waandamanji wameshtakiwa na ugaidi #NTVAdhuhuri @loftymatambo
Charlene Ruto skips court date where she was set to testify in impersonation case, suspect's defence applies to dismiss suit for want of prosecution.

City Hall secures 100 acres at Kamiti Prison and 50 acres at Embakasi Garrison to ease Lang'ata Cemetery crisis; Chief Officer Tom Nyakaba says the burial sites will be ready for use soon.

US-funded contraceptives for poor nations to be burned in France zurl.co/b45dY
Kabogo slams Gachagua over claims that Ruto ordered ethnic-based CEO firings zurl.co/I9rUO
Give me a chance, and judge me fairly when the time comes – Ruto zurl.co/yJUDx
#LEAPJobFair2025 drew the crowds! 🙌 From hopeful youth to top leaders — DP Kithure Kindiki, the Chinese Ambassador to Kenya, and leading CEOs — all came together to unlock opportunities. #NMG #Huawei #LEAPJobFair2025
Mke, je, unaweza kusimamia mahitaji ya nyumba pekeo wakati mume hana kipato? #NTVMashinani @Loise_Wangui

Meet Eric Latiff, co-host of NTV’s Fixing the Nation and The Last Word. Witty, engaging, and deeply passionate about making a positive impact, Eric aims to inspire meaningful change in society through his role. #PositivelyInfluencingSociety #NMGStaffSpotlight @EricLatiff
Earlier today, our Group Managing Director and CEO, Geoffrey Odundo, held a breakfast meeting with Dr. Hillary Wachinga, Managing Director, Kenya Reinsurance Corporation. They explored opportunities for collaboration in thought leadership and strategic communication.…
Uganda: Man arrested with friend’s severed head, planned to sell it in Kampala zurl.co/aeFDy
Tagged and left: Long wait to bury Shakahola’s dead. Their kin’s remains continue to lie cold in the Malindi Hospital Morgue
Kombe La FKF Chairman’s Cup Miamba wa soka Bungoma Siren wamesema wanapania kutwaa awamu ya kwanza ya kombe la FKF Chairmans Cup tawi la Bungoma. #NTVMichezo @loftymatambo
Matayarisho Ya Harambee Stars Kocha wa Harambee Stars Bennie McCarthy amefichuwa kuwa kikosi chake kamili kitazinduliwa hivi leo na huenda mshambulizi Masud Juma atakuwa kwenye kikosi hicho. #NTVMichezo @elijah_ouko @loftymatambo
Uhai Tena Wa Bwawa La Chemeron Zaidi ya familia 10,000 kutoka Baringo Kusini zapata matumaini na kuona uhai kutokana na bwawa la Chemeron kuchimbwa tena baada ya serikali kuanzisha mradi wa shilingi milioni 100 kuondoa matope bwawani. #NTVAdhuhuri @loftymatambo
Former DP Rigathi Gachagua slams President Ruto for blaming parents and churches over protests
Wito Wa Madarasa Zaidi Nchini Wito umetolewa kwa serikali kujenga madarasa zaidi katika shule ya msingi ya Kimbo Githurai, kaunti ya Kiambu, ili kupunguza msongamano mkubwa unaoshuhudiwa kati ya walimu na wanafunzi. #NTVAdhuhuri @loftymatambo
Jamaa Achomwa Akiwa Hospitalini Patrick Kinyanjui, alipata majeraha mabaya ya moto alipokuwa akizuiliwa katika hospitali ya Thika Level Five. Kushindwa kulipia bili ya hospitali kulisababisha azuiliwe katika kituo hicho. #NTVAdhuhuri @FredMuitiriri @loftymatambo
ODM Yatoa Makucha Yake ODM kimeitisha mkutano wa dharura na vile vile kinatarajiwa kuzungumza na wanahabari haswa baada ya matamshi ya katibu mkuu wake Edwin Sifuna akikosoa vikali serikali ya Kenya Kwanza. Mwanahabari wetu @david_muthoka7 na mengi. #NTVAdhuhuri