MindyourMind
@mindyourmindtz
#MindyourMind: A safe space where youth in Tanzania share real stories to break the cycle of harm. Initiative by @ElimikaWikiendi
Sikujali afya yangu, niliamua kulala na kila mwanaume ili nipate pesa za kuendesha maisha. Baada ya miezi sita tu, nilinasa UTI sugu inayonitesa kila siku.. Kila nikikumbuka nimeacha wadogo zangu kijijini wanaonitegemea, najutia sana maamuzi yangu...๐
Ungana nasi kwenye #ElimikaWikiendi X-space. Tutakuwa na @BeingMollel atakayesimulia safari yake ya kupambana na changamoto za afya ya akili hadi kupata msaada๐ Mwanasaikolojia @Living_nky atao elimu na ushauri kwa vijana. Mwongoza mjadala wetu ni @CKapilima Usikose!
Wazungumzaji wetu kwenye #ElimikaWikiendi Spaces. Usikose kufuatilia jumamosi hii kuanzia saa 3:00 โ 5:00 Asubuhi #MindyourMind
๐ ๐ถ๐ป๐ฑ๐๐ผ๐๐ฟ๐ ๐ถ๐ป๐ฑ ๐ช๐ฒ๐ฑ๐ป๐ฒ๐๐ฑ๐ฎ๐ Msikilize mwanasaikolojia @living_nky34475 akibanisha mambo matano (5) muhimu utakayoyafanya yatakusaidia kuepukana na changamoto za afya ya akili. Cc @mindyourmindtz #MindyourMind #ElimikaWikiendi