𝘾𝙝𝙚 𝙂𝙪𝙚𝙫𝙖𝙧𝙖
@ka_pyenga
Peculiar Man.
Na mjue Wepesi wako na type ,they chose the most beautiful women . Stop undermining those guys .
Hii tu vile iko alafu uichemshie rice vikombe mbili. Unashiba kama python ya NatGeo. Qmamae!
🤤🤤 My unending love for peas 🫛
Huko majuu kuna mzungu hukuona anasema you are a criminal due to the color of your skin. Usikue mjinga kama yeye
Huyo groom ni thug tu
Unaeza Dhani denge ako into you kumbe anatick her bucket list kama Dora the Explorer hahaha ungui mutheri
Usiwai ruka stage ya kudate kijana wa masilver
mimi ata museme nini masilver lazima nijaze kwa shingo vidole wrist na kama singekua na shida ya infections jili ya scd ningeweka permanent gino zote topa pia is a must na ata sikua brought up east. hi ndio lifetime lifestyle haibadiliki ata nini ifanyike
Unakuanga mjinga masaa ingine
Wedding ya wepesi imewabamba but launch ya nganya iliwakasirisha haha
I would assure all of you, he doesn't give a shit whether you're happy about his wedding or not hahaha
😂😂 @_Xieuvin @adwash27
1 gram ya silver huwa average ya 150, apo amevaa close to 10kg,😂😂😂apo kuna maziwa
Wepesi wanakuwanga moved na simple things hata ukimshikia kiti hapo YBM huwa wewe ni mtrue sana
Kumanina zako alikuibia wapi
Mbona muna glorify ma thegi? (Their lifestyle convince me so)
Hahahaha, kuna mmoja tushapea warning already wakiwa na mtu wake na naona wametueka sana🤣🤣
Mnadhaningi tukisema mtavaa topper ma mbling kwa harusi ni jokes sio ?
Premium cotton hahaha I hope you get picked
Ni wezi wa fr😂 Na msanii
We're so uppppp
You can call them 'wepesi' but those dudes know how to love. 😆
Nangojea woke twitter waseme iyo harusi ilikuwa chaotic na wengine hawatawai experience walking down the aisle
ukiget cooked the worst tweets hata sio the quoted replies the real demons hua the "lrt" subliminal merchants
"Usikaze sana utapata cancer ya haga"
"Wivu ni kidonda, ukishiriki utakonda."
Na dj acheze " Ijahman Levi ▶️ I do"
Mnadhaningi tukisema mtavaa topper ma mbling kwa harusi ni jokes sio ?