Jalilu Zaid
@jaliluzaid
Student of Knowledge | Creative Mind at Work | Always Learning, Always Evolving. 📸
This is the updated list of the Local and International Brands I have worked with so far. Sometimes it's not easy to remember each and every brand I have worked with. Forgive me if you won't see your brand mentioned. It's not that I don't value our relationship. It's just that I…

Kwa kweli wewe umefanya mapinduzi makubwa sana ya vilabu mtandaoni, pokea maua yako
An enduring legacy in the annals of Tanzanian football ✊🏼
Mafanikio ni mchakato na mbio za muda mrefu. Achana na mihemko ya kutaka leo kesho. Itakugharimu.
Magari mengi kuliko madereva. Ni mwendo wa peleka moja ufikishe, panda boda urudi kuchukua gari jengine.
Ukitaka kutengeneza maisha yako yawe mazuri; basi fanya wema katika maisha yako.
Mzigo umefika kama hivyo, wahi kabla ya sold out Call/whatsapp: 0686332222 Zipo mwenge Delivery tunafanya kwa gharama nafuu Mikoani tunatuma
Stay tuned, any time from now tunawaletea perfumes nzuri sana 50mls special edition 40,000/= 50mls inspired edition 30,000/= 3mls oil french 8,000/= 3mls oil oud 10,000/= 5mls car perfume 10,000/= 10mls car perfume 15,000/= Whatsapp: 0686332222 Karibuni sana
Don’t feel less of a man just because you don’t live a luxurious life like your fellows. If they told you truthfully what they’re doing to accumulate their wealth, you probably wouldn’t have been able to keep up.
Ukikosa chako kwa muda unaoutaka wewe vumilia kwanza. Usichague chochote ili uonekane na wewe umepata kwa sababu itakugharimu.
Kumpa mtu shikamoo si tafsiri ya moja kwa moja kuwa unamheshimu. Unaweza usimpe shikamoo ila una heshima kubwa sana kwake.
Miongoni mwa vitu Watanzania tunatakiwa kujifunza ni ustaarabu na utunzaji wa mali au miradi ya umma sambamba na mazingira yetu. Ukiharibu miundombinu yoyote ambayo ilikuwa na lengo la kuisaidia jamii tambua unatumbua kodi ambayo imetokana na pesa yako mwenyewe. Vinatengenezwa…
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un Mshindi wa Mashindano makubwa ya Qur'an Tukufu ya Al-Hikma mwaka huu IBRAHIM SOW amefariki.💔
Kifo humfika mtu yeyote na wakati wowote. Basi ishi maisha yako kama leo ndio mwisho wa uhai wako, hiyo itakusaidia kuishi na watu kwa wema na uadilifu. Dunia ni pambo tu lenye kupoteza halafu la muda mfupi. Basi yasikufanye yale yanayoihusu Dunia ukapoteza utu wako.
Kuna mtu mmoja kanipa tafakuri moja anasema “Ukiona unampigia mtu simu hapokei halafu baadae hakurudishii simu hadi umpigie wewe tena na pengine asipokee mara mbili mara tatu, bado thamani yako ni ndogo sana, unatakiwa kupambana kujiongezea thamani manake heshima huja palipo na…
Katika hizi Ofisi ambazo mmepata kazi na zinasaidia kuendesha maisha basi ni muhimu kuchunga usiwe kikwazo kwa mwenzio ambaye naye anajitafuta. Wangekuzibia milango waliokutangulia usingefika hapo. Kunjua nafsi riziki za watu Mungu hazishushi moja kwa moja zinapitia kwenye…
Never feel ashamed of your religion. It is not merely a personal belief but a profound part of your identity. Wherever you go, let it serve as both a symbol of introduction and a badge of honour reflecting your values, principles, and the integrity you carry with you. In a…

Kupoteza viatu vyako Msikitini ni janga dogo sana kuliko viatu vyako kutokuonekana Msikitini kabisa.
Uko huru kuizungumzia pesa ukiwa huna au unaitafuta ila ukishaipata tu uhuru huo unatoweka manake wasio nayo au wanayoitafuta wataanza kusema unawaonea wao au unawaona wazembe.