ARTIFEX 🎨🖌🧸
@artifex_s17
Self taught artist/ Free spirit/ Advisor/ Music lover 🎶/lover of poetry and novels and above all don't panic its organic just go with the flow .👣🎨🖌
Goodmorning you people, Wake up and suffer or make plans to overspend 🫴🫱🏾🫲🏽
The twilight sets in along comes the shadowy beauty of night 🌙

Nahisi nina vita ya kiroho na kimwili na kunguru haiwezekani kila nikiwa nakula waninyee😡
Ze situesheni iz tafu
Hivi hii ndio situation ya Dar 😀 .....hamtaki kukaa mikoani
Anyways the green City hamja disappoint kuko vizuri munooooo ila Mbeya mjini 😄 nina vita na lile vumbi 🤣

Wanaoretweet biashara zangu ikifika siku ya harusi yangu👇 + watakua WA Kwanza😹
JUG & 6 GLASSES😋😍 TSH 25,000 0755 693 113 📍 UBUNGO EXTERNAL
Noah ina nafasi bhana 🤣 abiria 14, baiskeli moja, kuku 03 oya 🤣 all in all Kyela beautiful scenery worth it 🙌🫱🏾🫲🏽👌
Noah tumajazana kama kumbi kumbi 🤣 abiria kaongezeka kubanana na dereva imetoka kauli "oya we jamaa si uendeshe tumuache dereva tutamkuta tukirudi"