patoπ¨
@_itspatoo
βππππ€ππ π | πππ βπ£πππ π π ππ πππ π | COLDπ₯Ά | Palmerπͺ | πMessi | Fuck what they think | Just for fun |
Unaeza pata matako ni moja ni venye tuko na macho mbiliπ€£π€£
Kila saa mimi hushinda nikiwa msafi ndio msiwai niosha.
Yaani tangu jioni ifike bado ni saa moja, eneyewe monday hukuwa final boss
Angani leo mambo ni vulae na mangwai ni kujipurura back to back,hakuna jamπ
Natafuta mtu tuzae na yeye twins tuwaite terms and conditions πππ
My mom kunipea through pass to one of her friend's daughter is the craziest shit I've seen ππ€£π
Mimi nimeona hadi mtu anaekea ng'ombe radio ziskize ndio itoe maziwa mingi ππ
Since y'all know English on this app, what's the opposite of "SORRY"??
Sasa watu left handed hiyo ndo mkono yao ya right ama
Akikushow "what are we" we jua kuna mwengine ameomba chance akaambiwa ategee
akilike status zako zote si iyo ni enaf sign ama