scepter
@_______abu
Typing at the speed of ⚡, fueled by ☕ and a penchant for 👨🏿💻
Logic is very bad... Critical thinking is worse... You'd think that everyone has it... then it hits you that... Uko pekee yako fala.
Ma ndii zi economics. And Mbadi was one of the best accountants Kenya had. The big 4 can bear me witness.
The facts behind govt free primary & subsided secondary education; conceptualisation, the journey & reality facing the program. As a nation we must be honest with truth. My honest take during a thanks giving ceremony at God Oloo Secondary school in Suba South, Homabay county.
Iko siku Nairobi hapo Aga Khan walk 3am jamaa alijaribu kuchukua nokia yangu. Ile shida tuliona sisi wote wawili. Nilireceive zangu lakini yeye alipokea salamu mzuri mzuri. Hata yeye alijua haikua siku yake. Nilikuwa nmetoka space lounge.
How to lower the spare tyre on your landcruiser or lexus... Kidogo mtu alale nje...
Tuheshimu siku tafadhali. Mbu ndio huingia nyumbani saa hii. Wewe na hiyo mia yako shtua maini. Hata flying horse ni pombe kwa serikali. Weekend iwabambe. Monday holiday; expect heavy rotation.
I have thoroughly researched the challenges surrounding voting lines, corruption, and our mindset of mtu wetu. In my view, achieving a train station, as impressive as King's Cross St. Pancras in our country will take us 500 years.
Wadau, mnaona kama Kenya itawahi change? Kwa wale wametembea huko majuu, I know you have been to places where government works. Do you think it will reach a time Kenya will be at par with those countries?
Ukipatana na Man HB4 na uko na 2500cc zima hiyo kitu unapuliza.
Try race this one on the treacherous Voi Mtito stretch. Utapigwa Dafrau ushtuke
Ni siku kuu ambayo Maulana ametupa. Tafadhali usiogope kula jasho yako. Fuliza pia ni net worth. Usitishwe na mtu.