Jayreally47💊
@_Jayreally47
Gas point & Accessories Serrer 💰 Branding Business & Marketing / Hustle Harder, Hustle Smater / Tech, Internet Freelancer #ASC_💰 #CLH💊 #AlwaysWorkSmart🧠
Nikai Top Quality | Japanes Material | Price 110k Loc Mwanza 0684965348
Digital marketing siyo "set and forget". Ni "learn, test, adapt, repeat". Process ya kujifunza inakuaga ngumu sana miezi ya mwanzo sababu mabadiliko ya algorithm. Na pia digital marketing ni kubwa mno na sijui kama Kuna mtu hapa Duniani ame master yote 100%
Kitu Kitakachobadilisha Maisha yako Mazima Kipo Somewhere Kwenye Kitabu Kimoja au Course Moja—Kazi yako ni Kutafuta Hicho Kitabu au Course Soma Kisha Ingiza Kwenye Action Kile Ulichokisoma then Boom Voila!
Ukiona Umeanza Kuepuka Drama, Ugomvi na Sehemu Zenye Makele ili Upate Muda Mzuri Wa Kujisikiliza na Kufikiri—basi UMEKUA!
Kama unajitoa kwaajili ya familia na wazazi wako fanya kwa juhudi zote 👊
Cala..oya saliba nikwambie kitu. Saliba..niambie tu usijali. Cala..yule mosquera unajua chimbuko lake.. Saliba..hapana. Cala..babu yake mzaa baba ana tokea Nigeria alaf ni mganga. Saliba..una sema kweli..? Cala..sina utani na wewe.. Saliba..kwaiyo una niambiaje. Cala..kua makini

Kuna watu wamekaa kazini miaka 10, hawajawahi kuwa na uhuru wa kifedha hata kwa mwezi mmoja. Unaweza ukawa unapata 500K kwa mwezi lakini mindset yako ni ya mtu wa 50K. Hela haitoshi kwa mtu asiyejua anachotafuta. Usiache kufuatilia matumizi yako.
Kuwa maskini ni gharama kubwa kuliko watu wanavyosema. Unaamka mapema, unalala umechoka, una stress ya kila siku. Halafu unawaona watu waliowekeza miaka mitatu wakivuna bila pressure. Unahitaji utoke kwenye huu mduara.
Unapozaliwa maskini, unakuwa na option moja tu: ku-risk kila kitu. Hakuna ‘comfort zone’ kwa mtaa. Hapa ni kurisk kufanya jambo, kuanguka, kusimama tena, kufanya upya, mpaka ufanikiwe. Focus yako ikipotea, hela haitakupata.
Ni dhambi kukata tamaa, maisha ni safari ya uvumilivu na nguvu."
Kitu Kitakachobadilisha Maisha yako Mazima Kipo Somewhere Kwenye Kitabu Kimoja au Course Moja—Kazi yako ni Kutafuta Hicho Kitabu au Course Soma Kisha Ingiza Kwenye Action Kile Ulichokisoma then Boom Voila!
Huwezi kuwa na consistency kama kila mtu ana access ya kubadilisha mood yako. Kuwa na: – Wachache wa kushauriana – Wengi wa ku-mute – Zero kwa kusikiliza mabeep ya system The focus is protection.
Huitaji kuwa na studio au laptop ili uanze. Unahitaji → Smartphone + ideas + consistency.