TUKO.co.ke | The Heartbeat of Kenya
@Tuko_co_ke
The most popular and trusted news website in Kenya 🇰🇪 Follow us for all trending news! ✉️ [email protected]
Do you think the broad-based government has increased efficiency and service delivery in government? Why?
Mlinzi alieleza kuwa wakati Susan Kamengere alipopelekwa kwa lazima hospitalini, aliandamana pia pamoja na mtu mwingine waliyeishi naye. kiswahili.tuko.co.ke/watu/597390-su…
Mchekeshaji Eric Omondi ameshiriki video ya Millicent Maina akiwa hospitalini baada ya hadithi yake ya kulala kitandani kwa miaka kutokana na magonjwa kuwagusa Wakenya. Kuna mipango pia ya kuwasaidia watoto wake. kiswahili.tuko.co.ke/watu/597398-mi…
Mhudumu wa bodaboda alizama mikononi mwa mpenzi wake kwa upendo bila kujua kwamba walikuwa wakitazamwa na kurekodiwa kisiri. kiswahili.tuko.co.ke/watu/597266-mh…
Millicent Maina ambaye amelala kitandani amefichua zaidi ya magonjwa sita makubwa anayoteseka nayo, na wakati Eric Omondi alipotembelea, alilazimika kusaidiana kazi za nyumbani. kiswahili.tuko.co.ke/burudani/59738…
Interior CS Kipchumba Murkomen visited and assessed the construction of Kamariny Stadium in Elgeyo Marakwet County, which was restarted after stalling for quite some time. "I am confident that the new contractor on site can complete the stadium on time and to the required…




Babu Owino amezungumza kuhusu mfadhaiko anaovumilia katika ODM. Alisema aliamua kuweka kila kitu sirini kwa ajili ya heshima aliyonayo kiongozi wa chama, Raila Odinga. kiswahili.tuko.co.ke/siasa/597383-b…
"Sikuwahi kufikiria rais angejua. Nilihisi hali hiyo kuwa ajabu." Morara Kebaso anadai Rais William Ruto aliwasiliana naye kibinafsi, kabla ya kuamua kuacha siasa ghafla. kiswahili.tuko.co.ke/siasa/597385-m…
Millicent Maina, ambaye yuko hali mahututi, amefichua zaidi ya magonjwa sita makubwa anayougua, na Eric Omondi alipomtembelea, ilibidi asaidie kazi za nyumbani. kiswahili.tuko.co.ke/watu/597301-wa…
Precious alifika kazini katika eneo la burudani kama kawaida akitumaini siku itakuwa njema, lakini alipoteza maisha yake ghafla. kiswahili.tuko.co.ke/watu/597358-mw…
“Our economy is gine, is finyaring us. We are suffering,” Kevin Oyuko aka Kimbikimbi says, insists that political parties and the government need to address unemployment, hunger, and a broken economy. He claimed some people have big names but are doing nothing in their…

"Yeye ni mjeledi wa serikali lakini anaituhumu serikali hiyo hiyo." Samson Cherargei na Boni Khalwale walikabiliana ana kwa ana katika majibizano makali ya Seneti ambayo yalibadilika haraka kuwa ya kibinafsi. kiswahili.tuko.co.ke/siasa/597343-s…
"Ni makosa tu, kiakili, kitamaduni na hata kisaikolojia." Eric Omondi alimtembelea mama Githurai anayeugua ambaye mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 11 amekuwa mlezi wake, akishughulikia majukumu zaidi ya umri wake. kiswahili.tuko.co.ke/familia/597348…
Mulamah amewapa ujanja, kazi kwenu! Mcheshi wa Kenya Mulamwah amevujisha picha ya skrini ya mapato yake ya kila mwezi kutoka Facebook. Mchekeshaji huyo ambaye alivuma mwezi uliopita kuhusiana na ndoa yake alifanikiwa kupata kitita cha KSh 1 milioni. kiswahili.tuko.co.ke/burudani/59735…
Ripoti zilidokeza kuwa mrengo huo uliafikia mgombea wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka awe wa kupambana na Ruto 2027. Martha Karua wa PLP alikuwa ametangaza nia yake ya kugombea urais, na sasa anazungumza kuhusu uwezekano wa yeye kuwa spika wa bunge. kiswahili.tuko.co.ke/siasa/597321-m…
Kuamia Marekani kimya kimya kwa Jeridah Andayi na watoto wake baada ya takriban miongo miwili katika Radio Citizen kuliwashangaza Wakenya wengi. Video ya hivi majuzi inayomuonyesha akiosha gari inawafanya mashabiki kushangaa. tuko.co.ke/entertainment/…
Controversial preacher Pastor Paul Makenzie's lawyer, Laurence Obonyo, has refuted the claims that his client is in communication with individuals in Binzaro while incarcerated. This comes after a media report indicated that an additional ten individuals were found deceased in…


Alikufa lakini hatujamsahahu. Binti huyo alimpoteza baba yake mzazi ambaye aliuawa na mwenzake kazini. Licha ya hali hiyo, binti huyo hakuweza kuacha kumkumbuka, hata baada ya kupata haki mahakamani kuhusu tukio hilo. kiswahili.tuko.co.ke/familia/597323…
Katika magazeti: Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) imetangaza mipango ya kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma. Mwenyekiti wa tume hiyo, Sammy Chepkwony, alieleza kuwa wamejizatiti kuwalinda wafanyakazi dhidi ya makato makubwa. kiswahili.tuko.co.ke/biashara/59732…
ODM Party leader Raila Odinga has suggested that people should be identified as voters and allowed to vote using their Identity Cards (IDs). According to Raila, using IDs to verify voters will give more people a chance to vote. “Just give people IDs. There are areas where…

Kakamega Senator Boni Khalwale has urged Parliament to rise up and protect free primary and secondary education. This comes after the National Treasury CS John Mbadi announced that the government can cut school capitation by KSh 5k per student. Mbadi warned that the government…
