TAWLA
@TawlaTZ
TAWLA is a Non-Governmental Organization (NGO) that works to promote and advance legal and constitutional rights of women and children in Tanzania.
35 Years of TAWLA: Cultvating a Legacy of Justice and Equality .............................................................................. Miaka 35 ya TAWLA: Kujenga Urathi wa Haki na Usawa #TAWLAat35 #GirlsNotBrides #HakiHainaJinsia
Tunawashukuru kwa ushirikiano na moyo wa kujitolea mnaouonesha kila siku katika kupigania haki, usawa wa kijinsia, na maendeleo jumuishi ya jamii zetu. Katika kutamatisha wiki hii yenye shughuli nyingi na mafanikio ya pamoja — tunawatakia wikiendi njema yenye pumziko, furaha na…




12-year-old Noluthando from Tembisa is bombarded with ads for sugary drinks & ultra-processed food. Her parents try their best, but nearly 80% of products in stores are unhealthy. We need #FOPL & #HPL to level the playing field. 🎥: heala.org/chew/ #FoodJustice
You’re feeding your heart its enemy. Trans fats may taste sweet, but they are dangerous. They clog your arteries, increase your risk of heart attacks, and kill quietly. Every bite brings you closer to a hospital bed or a grave. Don’t wait for a tragedy. Ban trans fats…
Kuwepo kwa viwango vya lazima vya alama za lishe kwenye vifungashio vya bidhaa, katika lugha nyepesi ni hatua muhimu kuelekea afya bora kwa wote. Alama hizi zinasaidia watumiaje kufanya maamuzi sahihi kuhusu chakula wanachonunua. Ni wakati sasa kwa wadau wote kuungana na kudai…

Zoezi la ukusanyaji wa picha, video na shuhuda za wanufaika wa mradi wa #LRF limetuwezesha kutembelea kijiji cha Mamba, wilaya ya Hai, ambapo tumekutana na wanufaika wa mradi kupitia ushirika wa maziwa – Kilimanjaro Dairy Co-operative Joint Enterprise Limited (KDCJE). Katika…

Every bite of trans fat represents an event in which your heart receives additional harm. Trans fats silently clog your arteries and kill. That tasty chip could be your last bite.💔 The time has come to ban these harmful substances because your heart needs protection. Not all…
🏥💰 With diet-driven NCDs now causing over 30% of deaths in Kenya—and obesity among women tripling since 2000—warnings on food packs aren’t just smart—they’re life-saving 📉. Let’s empower consumers and ease the health system’s burden. #FoodPolicyKE