Bare Minimum Boyfriend.🦈
@SheddiClever01
The Bronze Bomber.. Yanga Sc| Real Madrid| Chelsea.
Kauli mbiu ya Yanga Sc Club msimu huu ni...... "Kama unahisi timu zinaonewa leta timu yako"....
HANA ADABU.
🚨Cristiano Ronaldo wants Marc Cucurella at Al Nassr. 🇸🇦[@jfelixdiaz]
Lionel Messi UEFA Final vs Manchester United.
Was hearing names like Max DowMan,ladies and gentlemen welcome Ibrahim Rabbaj,The best 15 years old player the world have ever seen 🥶
Kwenye peak yake pale Real Madrid kwani Saudia hapakuwepo aache zake..Azeeke kwa amani aache vijana wachape kazi Europe.
🚨 Cristiano Ronaldo wants Al-Nassr to sign Marc Cucurella. (@jfelixdiaz) #CFC
Onana akisave 2 za maana anaachia 3 nyepesi anasave zingine 4 ngumu anaachia 2 nyepesi...FULL TIME 5 - 0
Bruh😭😭😭😭😭
Injuries.
Let’s be honest , what will stop this team from winning the PL And the UCL next season ?
Anytime anyday.
Would you take Gigi Donnarumma at Chelsea?
Kwenda Saudia kusaka mteja ni uvivu tu wateja wako hapahapa England ni wewe tu na ushawishi wako...Baba bariki na wengine imetoshaaaaaaa😂
🚨 Newcastle have already made preliminary contact with Nicolas Jackson but Chelsea are an astronomical £80M for the striker.🤯 Newcastle’s valuation is closer to £65M. (Source: @MsiDouglas)
Chelsea tukipata hii goalie yule Sanchez tunatakiwa kumchapa fimbo z kichwa😂
🚨🇮🇹EXCL Gianluigi Donnarumma has now made it clear to PSG after rejecting their third offer for contract extension Understand he’s learning towards signing for CFC this summer, GD only wants CFC. Chelsea are considering getting a deal done for Jorrel Hato & Simons before GD’s.
Ni kama kusema Simba na Yanga kufika fainal ya shirikisho zinatimu tishio Africa...unajua ukweli kuhusu uongo?
Sanchez kachua best goalkeeper club word cup kaka bado unataka golie mwingine 😂
EPL na NBC zitakuwa kali next season, mchawi NBC marefaa tu wanazingua😂
🚨🇪🇸 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 | Adama Traore (29) is emerging as a serious target for Nottingham Forest. Talks started with Fulham, reports @JPercyTelegraph. 🔴⚪️
Tukipata CB wa maana, Kipa na kocha maybe maybe ila kwa sasa hatugusi kwa Arsenal + Livakuku na City Pep akipandisha mashetani nae hatumgusi...
Mbona unaikataa team yako
Hatimae wameamua kushuka daraja kwa gharamaa...
📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Marcio Maximo ametambulishwa kama kocha mkuu mpya wa klabu ya KMC FC akichukua mikoba ya Kally Ongala aliyetupiwa virago mwezi Mei kutokana na mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo. Maximo (63) raia wa Brazil…
NI MUNGU TU.😂
Ununue kwa €100m alafu uuze kwa €20m ?? Chelsea wanawezaje ?
Msimu ujao pale Anfield ukiingia kwenye njia za livakuku unakula hata mkono...Msomali huwa hana macheko akipata mchekea😩😂
🚨🔴 Liverpool are prepared to go big for Alexander Isak after Luis Diaz sale done. Isak, keen on the move and not even in talks with Saudi clubs. Only Liverpool. Up to Newcastle now, with #LFC waiting but ready to enter strong with record proposal.
Livakuku Man City Arsenal Chelsea
The Premier League top 4 will be?🤔 🥇1st….... Arsenal 🥈2nd…..Man City 🥉3rd……Liverpool 4️⃣4th…...Chelsea Maoni yako ni yapi ?
Hii game nilijua zinafika 10 manina hawa dakika ya 25 tu wametuchapa 4...Ross Bakley anarudisha tufungwe...Aguero tap in anapiga nje alafu muwa mkali ndani...Kepa haelewiii, Sarri haelewiii yaan dah😂
this game is not talked about enough
Kwanza mitonyo ya Ahoua inapita moja kwa moja acc. ya Azam Fc manina zenu...kujenga timu kwa vijana wadogo ni myth naona saiz mnaleta wakongwe kazini tu😂
Kwamba tutakuwa na mitonyo, Fei anatua, anhuaa anabaki, msimu ujao ni moto tu mtaona🤣
Mko tayari ilipwe moja kwa moja Azam hata kwenu isipite nyie...😂😂
Kwamba hela inaenda kumalizikia kwa Fei😂
Wasenge wakimuuza Jean Charles Ahoua wanaYanga tutegemee za mbavu kwa namna yoyote ile...😂
Mwenda na Kibwana wanchapa mpaka January pale dirisha dogo anarudi Yao sasa...namba 1 mtu tatu na iwake...
CB na eneo la Yao hatupo strong sana. CB ni muhimu sana.