Aleph Bonnie ™ | 1440
@Sajjo
| FARMER @MagoleFarm 🍃 🚜 | @NyavuTz | @LMadvisory | @VapperTech | #SYT | Coordinator: @FMFound | Banana Expert ask @Salim_Alkhasas | #MWF16 | 413 |
Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi, maana nimekutumaini wewe. Unijulishe njia ntakayoendea, kwa maana nakuinulia nafsi yangu. Zab 143:8
Happy Birthday Dru. God Bless You.
This is 40. Officially on the 4th floor and the view is getting better. I thank God for his Grace & Mercy for allowing me to reach this age. I hope for more unpacking in this new decade. Unpacking of burdens, things & people – only carrying what is necessary. Cheers to a new age.
Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya Bwana? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu? Mungu ndiye anivikaye nguvu, na kufanya njia yangu kuwa kamilifu. 2 Samweli 22:32-33 🙏🏽
Mara nyingi hizo kokoto zinawekwa juu zigange kwenye lami magari yakipita.
Tanzania vipi😂😂
Amini wote tumezaliwa watupu na kupata hutokana na juhudi tu za mtu. - @Ngwair #Sikiliza
Lakini kweli Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, tunda la kwanza la wale wote waliolala. Kwa maana kama vile mauti ilivyokuja kupitia kwa mtu mmoja, vivyo hivyo, ufufuo wa wafu umekuja kupitia kwa mtu mmoja. 1 Wakorintho 15:20-21 🙏🏽
good strategy of dealing with your enemy is to accuse them of what you are guilty of. SBL
Yahweh, Rafa, Elohim Shadai, Jireh, Adonai Se manifesta-acum… 🙏🏽
Winning does not mean anything unless someone loses. #Westworld
Afadhali kula ukoko mkavu ukiwa na amani na utulivu kuliko kukaa kwenye nyumba ya karamu kukiwa na magomvi. Mithali 17:1 🙏🏽
Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake, anawavika wanyenyekevu taji la wokovu. Zaburi 149:4 🙏🏽