#SAUTIZAO
@SAUTIZAO
Jukwaa la kupaza na kulinda sauti za vijana na wanawake mtandaoni #HakiZaKidijitali #DigitalRightsTZ #CivicTech chini ya uongozi wa @lpdigitaltz
Katika safari ya kuhakikisha sauti za vijana zinasikika, #VijanaNaUchaguzi Challenge iliwahamasisha vijana kushiriki kikamilifu katika mijadala ya uchaguzi na masuala ya kijamii. Ushiriki wao umeonesha jinsi teknolojia inavyoweza kuwa nyenzo muhimu ya kushiriki katika maamuzi ya…

Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Mhe. Paul Christian Makonda. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
Lakini je, wanapoongea wanazungumzia nini? Ni haki zao? Maendeleo ya kijamii? Teknolojia? Au mustakabali wa taifa? 💭 Unadhani mijadala ya vijana inaleta mabadiliko gani chanya katika jamii yetu? Tuambie kwenye comment ⬇️ #SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitalu…

Je, Dira ya Taifa 2050 inalenga kuijenga Tanzania ya aina gani ifikapo mwaka huo, na ni hatua gani tunapaswa kuchukua sasa ili kufikia malengo hayo ya muda mrefu? Jiunge nasi jumamosi hii katika kurasa zetu za twitter (X) @ siasa zetu kusikiliza mjadala…
New Cohort, New Milestone! This isn’t just any training — you’re joining the very first cohort under our newly NACTVET-verified academy! 📲 Register now: forms.gle/YKHLbHhi6uY4pi… That’s right — your learning journey now comes with National recognition, trusted quality, and…
On the final day in Mwanza, participants delivered impressive group presentations—confidently pitching their digital solutions with clarity and purpose. This session was more than a showcase; it was a celebration of growth in communication, innovation, and collaboration. Special…
Ni wakati wa vijana, wanawake na kila Mtanzania kusimama na kuchukua nafasi katika kuijenga nchi yetu. Kupitia elimu, teknolojia na ubunifu, tunaweza kuifikia Tanzania ya 2050 iliyo na uchumi imara, fursa sawa na maendeleo jumuishi kwa wote. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi…
Wanawake, muda ni huu! Dira ya Taifa 2050 inalenga 50% ya Watanzania kuwa na kazi rasmi. ✅ Wewe uko tayari kuchukua nafasi yako kwenye sekta ya teknolojia? Teknolojia ni lango la ajira, ubunifu, na usawa wa kijinsia. 👩🏽💻 Sasa ni wakati wa kujifunza, kujiamini, na kuchukua…
📊 Fahamu halmashauri zilizokusanya mapato ya ndani kwa wingi zaidi mwaka 2023/24 .Ukusanyaji mzuri wa mapato ya ndani ni kiashiria cha uwajibikaji, mipango bora na utawala madhubuti. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
🌐 Dira 2050 inalenga 70% ya Watanzania kuwa na uelewa wa kidijitali. 💡 Lakini hii ina maana gani kwa jamii zetu? Uelewa wa kidijitali si tu kuhusu kutumia simu au kompyuta — ni kuhusu: ✅ Kupata taarifa kwa haraka na sahihi ✅ Kujifunza na kujiajiri kupitia mtandao ✅…

Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Hayati John Pombe Magufuli . #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
Katiba ni sheria mama inayotoa mwelekeo wa namna nchi inapaswa kuongozwa, Ndani yake kuna haki, wajibu wa wananchi, na mipaka ya mamlaka ya viongozi,tuijue, tuihifadhi na tuisimamie kwa maendeleo ya wote. 🇹🇿📘 #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
Je, ni kutokana na nguvu ya mtandao wa chama, miundombinu ya kisiasa, au imani kuwa ndiko kunakotoa nafasi zaidi ya kushinda? Hebu tuchambue! 🗳️🇹🇿 #SautiZao #SiasaNaVijana #Uchaguzi2025 #SiasaZaTanzania #VijanaNaSiasa #CCM #DemokrasiaTanzania #SiasaNaDemokrasia #MitandaoNaSisi

Weka jibu lako hapa . #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
Unajua kuwa si kila mtu anaweza kuwa Mbunge? Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, hasa Ibara ya 67, imeweka wazi vigezo muhimu vya mtu anayestahili kushika nafasi hii ya juu ya uwakilishi wa wananchi. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
Hakuna shida huwa nafuatilia mijadala yao hakika ni mizuri sana na inajenga sana
TUNAPIKA 💪🏾💪🏾 Another Season of @ZetuSiasa COMING SOON!! New Host - NEW SET. #ProducerChronicles #SiasaZetu #SautiZao #Tanzania
#Mwanza is buzzing with ideas, innovation, and youth-led energy! We’ve joined forces with @KasTanzania for an inspiring week of action. Empowering Youth Entrepreneurs with 21st-Century Skills! We’re honored to be part of this journey #FutureEntrepreneurs #SkillingTanzania