Radio Citizen
@RadioCitizenFM
The Home of Kenya's most Popular Radio Personalities, Reliable News/Information and wholesome Entertainment. #RadioNumberOne #ChemChemiYaUkweli
First Half : AFC Leopards 1 - 0 Nzoia Sugar FC Kipindi cha pili kitakua kizito zaidi . Njoo hapa Masinde Muliro Stadium Bungoma utazame liiiiive #AFCGalaAwards #RadioNumberOne


Leo ibada ni ya pamoja 馃ぉ @Sally_Mbeyu liive from Bungoma na @LaureenAchieng liive from the studio. Unashiriki ibada wapi leo? Karibu tushiriki pamoja hapa PGC ndani ya #PambazukaJumapili #RadioNumberOne

Masinde Muliro Stadium Bungoma, you have been good and full of energy. Tupatane sasa ndani Gala Dinner, kata tiketi yako kupitia patatix.africa au kupitia paybill 247247 A/C 491533 @OgalTina @PabMulunda @fredomachoka @citizentvkenya @AchimbaMamou #RadioNumberOne
Katika awamu ya pili ya #MichezoNaBurudani tuna mahojiano naye Dr Fred Akama Mwenyekiti wa APS akizungumzia safari ya APS Bomet hadi FKF- PL Hakikisha uko ndani ukiwa nasi @MwambodzeMkalla na @icia_jacob tukiendeleza mahojiano haya Usikose! #MichezoNaBurudani #RadioNumberOne

Wamesema sikukuu watakula kwa @OgalTina na @fredomachoka 馃ぉ馃敟 Kumbe sikukuu si lazima Disemba 馃槀 Siku imefana ajabu pale Masinde Muliro Stadium Tukutane Gala Dinner pale Wanangaali from 6pm Pata tiketi kupitia patatix.africa au kupitia paybill 247247 A/C 491533.
Awamu ya kwanza ni mahojiano na waziri wa michezo Salim Mvurya kuhusu CHAN. #MichezoNaBurudani #RadioNumberOne

Photo of the day 馃槀馃槀馃槀 Best caption wins a shout out @citizentvkenya @PabMulunda #RogaRoga #AfCGalaAwards #RadioNumberOne

#RogaRoga ni Noma si Noma ? Masinde Muliro Stadium Bungoma imekubali na imefurahia . @OgalTina @fredomachoka Emmanuel Matanda @citizentvkenya #RadioNumberOne



Musingu Boys and Bukembe Boys warming up ndani ya Masinde Muliro Stadium Bungoma. Hii Mechi Ni Kubwa hii si ya kukosa . Njoo tuitazame pamoja kisha tukule burudani ya #RogaRoga pamoja. #AFCGalaAwards #RadioNumberOne
Talent and discipline go hand in hand- @AQtee @djflashkenya #WaksnaMbogi #RadioNumberOne
Vijana wanafaa kujifunza kukatiana- @dJflashkenya @AQtee #WaksnaMbogi #RadioNumberOne
Africans Unite! Ni Sato moja hatari sana! Karibu ndani ya #WaksnaMbogi naye @AQtee na @djflashkenya. Karibia tuguse reggae pamoja! #WaksnaMbogi #RadioNumberOne

#RogaRoga liiiiive kutoka Masinde Muliro Stadium, Bungoma . Njooo tusakate Rhumba pamoja @OgalTina @DJVIC_R @fredomachoka #RadioNumberOne


Mechi kati ya AFC leopards na Nzoia Sugar FC yaanza rasmi ndani ya Masinde Muliro Stadium Bungoma. Baada ya hapo #RogaRoga inakujia liiiiive Upo ? Unatakia timu gani ushindi ? #RadioNumberOne



The biggest weekend reggae show #WaksNaMbogi is taking over . Wapi Gideon boots ? Wapi khaki suit yako ? Na unawakilisha mtaa gani ? @AQtee @bensu_mk @djflashkenya #RadioNumberOne

Kikosi kizima cha AFC leopards tayari kimewasili ndani ya Masinde Muliro Stadium Bungoma. Hii Ni Kubwa馃敟馃敟 njoo tuburudike pamoja . #AfCGalaAwards #RadioNumberOne




Mwenyekiti wa AFC Leopards Boniface Ambani tayari ashafika ndani ya Masinde Muliro Stadium Bungoma. Njoo tupate burudani pamoja . #AFCGalaAwards #RadioNumberOne

Mashabiki wanazidi kujaa jaa ndani ya Masinde Muliro Stadium Bungoma ili waweze kuburudika na kufurahia . #RogaRoga iko liiiiiive . Njoo tufurahi pamoja #AfcGalaAwards #RadioNumberOne



Bungoma! Bungoma ! #RogaRoga tushafika ready for the AFC Gala Awards. Mashabiki washaanza kufika, burudani ishaanza. Je, umefika ? Jinyakulie tikiti yako kupitia patatix.africa na kupitia paybill 247247 A/C 491533. Hii Ni Kubwa 馃敟馃敟 #RadioNumberOne


