NellyM
@Nelly_thedream
Humble,talkative,friendly,charming,Dad of 2..whatever you define
Utitiri wa aina ya watia nia inaonyesha jinsi gani hatupo serious na Nchi yetu...wengine wamesahau maumivu waliyo sababishia watu walipo wapigania walipokuwa upinzani leo hii wamejiunga na wao waliokuwa wanawaumiza. Hakika mabadiliko ni muhimu sana.
Kubadilisha katiba ya akili ni muhimu sana kuliko katiba nyingine zozote...hii sio rahisi kuelewa. Tuendelee kunywa maji mengi
One of the most spiritual things you can do is embrace your humanity. Connect with those around you today. Say, “I love you”, “I’m sorry”, “I appreciate you”, “I’m proud of you”… whatever you’re feeling.
School: Obey or Fail Government: Obey or Jail Religion: Obey or Hell If you don't understand then I can't help you to understand.
Mababu zetu wamewapa jina la Mizimu, ila mababu zao walio kufa kule Roma na Israel wanaitwa Watakatifu.. tena kwa muwaombe kwa kutamka majina yao Saint flani 🤔 Waafrika amkeni...
Idadi ya masikini inaongezeka na kupungua kwa thamani ya shilingi kila siku haiwezi kuakisi Dira 2050...wakati huo huo Idadi ya watu wanaongezeka, hii leo wanao hudumiwa na TASAF kiwango cha pesa zao tu zinachekesha. Tuache longolongo kwenye mambo muhimu.
Life is strange. You arrive with nothing, spend your whole life chasing everything, and still leave with nothing. Make sure your soul gains more than your hands.
God became "Angry" because they built a tower to "Reach" the Heavens (Babel) but now he has no problem with the international space station. Africa wake up.
Watoto wengi humu walifikiri mpira ni mdundiko wenye maneno mengi...😆🤣😂
KENGEz... wameona kuwaongoza Watanzania ni jambo rahisi sana. Wengine malengo yao ni kushinda viti 30 hadi 40 alafu ukishinda unaenda kushindwa tena na zaidi ya watu 300 wanao piga kura ya ndio kupitisha kila kitu.
Haiwezekani 95% ya wasanii na watu maarufu wakawa chama tawala...kuna vitu vyao wanavyo moyoni na wala wasitudanganye. Akilikumqichwer...ila muda utajibu
Kwahiyo ukishakuwa maarufu kidogo tu unaenda kuchukua fomu ya kugombea. Unajiona unaweza kuongoza watu. Hii ni ajabu sana 😃.
together we will win TUSICHOKE!!! #SiriNiNumbers #RutoMustGoNow
Kimasihara sihara tunazi kwenda kubaya...mwisho tunachoka na kuvurugika 😞😔
Kwa jinsi mambo yalivyo...watumia mitandao wote wana kesi, maana askari doria mtandaoni anaweza kukupa kosa lolote ambalo anaona yeye ni kosa. Mungu atufanyie wepesi.
Zile Nchi ambazo hawaamini Mungu...mamlaka zao zinawekwa na nani..? Maana Mungu ana singiziwa sana...anabebeshwa vitu ambavyo Binadamu wanajifanyia kisha wanasema mapenzi ya Mungu.