Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼
@MsFrancic
Based on online business||Isaiah 41:10❤️||LEO♌
We do wholesale and retail
Off to delivery☺️ Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja
Msaada Gaiz, hivi nikianza kupiga tiz leo mpaka tarehe 10 mwezi ujao si ntakuwa na kashape kama ka Hamisamobetto🥹🥹, au niache tuh nipindishe kuta za watu😩
Kwangu hubamba when my hair and nails are freshly done😂😂
Monday hubamba wale workmate wawili wanadate💀
Kuna umri ukifika bana yani ni lazima uwe na hela zako tuu kuepuka aibu ndogo ndogo🌝
ONLY BITE WHAT YOU CAN CHEW…….Good morning Mkitaka sabuni msisite kunipigia Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja
DON’T START WHAT YOU CAN’T FINISH…….Good Morning ❤️ Mzigo bado upo wa kutosha wakuu Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja
BEDCOVERS ZISIZOPITISHA MAJI/MKOJO ZIPO DUKANI ZIPO FUTI 6X6 TU TSH 42,000 BADALA 45,000 0755 693 113 📍 UBUNGO EXTERNAL, MIKOA YOTE TUNATUMA
NINAZO HAPA DUKANI TSH 25,000 0755693113 📍 UBUNGO EXTERNAL MIKOANI TUNATUMA
Siku niliyogundua kuwa ninavyolalamika changamoto za maisha,kumbe kuna watu wanatamani hata wangepata bahati ya kuishi hivi ninavyo ishi tu😔😔…from there nimekuwa mtu wa kushukuru kila nikiamka…….kuna vingi Mungu katupendelea na wengine hawana😔..tujifenze kushukuru🙏🏾
Went to Bravo Coco and they really pissed me off. They gave me a menu with certain prices, I ordered, then the bill came with different prices. When I asked why, they said “the system has different prices like tofauti na kwenye book menu.” Wtf?? Then the so called manager shows…
Watu tusijifariji unataka kutupa depression😩😩😩
Go tell your man how you want to be treated unavyotweet hapa kila time sisi hatuwezi kusaidia..
Sijui nadate na ex wa nani ila kwangu ndo ma everythiiiinggggg🌝
😂😂
Not everything I post is my situation, sometimes I post your situation on your behalf🌚
Kunipiga huwezi😂😂
Kwa ambao hamjaelewa hiyo MIA ni "Missing In Action"😂😂😂
Zingatia MY LOC dede
Sasa hpo si una choose tu 📍😂😂,ko ushindwe kukimbia ww
Mi nami ukijifanya unanijua sana utadhalilika😂😂😂😂…..wanaume wambea wambea Hi👋🏼😆😆
Huku Dodoma network inasumbua kusema ukweli, ukiiona hapatikan kuwa muelewa tuu🥹hii baridi network hazikamati kabisa🌝 Thank you😉
Naombeni mnunue sabuni wateja tuna madeni wakuu Mzigo bado upo wa kutosha wakuu Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja
DON’T START WHAT YOU CAN’T FINISH…….Good Morning ❤️ Mzigo bado upo wa kutosha wakuu Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja
😂😂
Hatutaki utupigie kelele my man my man Muonekano wako will tell us about your man😆