mbelwa Kairuki
@MbelwaK
Tanzania's High Commissioner to the UK
Ninamshukuru Mkuu wa Chuo cha Biashara @cbeofficial1965 Prof Edda Lwoga kwa kutembelea Ubalozini leo jijini London. Katika mazungumzo yetu tumekubaliana kukiunganisha Chuo cha CBE na taasisi za elimu ya juu nchini Uingereza na Ireland kwa ajili ya kuanzisha mahusiano katika…



Ubalozi utashirikiana na Benki ya Kilimo kubaini fursa zilizopo katika soko la fedha la London ili kuwezesha watanzania kupata mitaji ya kuwekeza katika sekta ya kilimo nchini. Makubaliano hayo tumefanya mwisho wa wiki iliyopita katika mkutano wangu na Mkurugenzi Mtendaii wa…



Ujumbe wa Benki ya NBC Tanzania ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu Ndugu Theobald Sabi ulitembelea Ubalozi ambapo nilipata fursa ya kuwashukuru kwa ushirikiano wao kwa Ubalozi katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi. Wamenihakikishia utayari wao kutoa huduma za kibenki kwa…


Leo jioni Ubalozi umeshirikiana na Taasisi ya Sema Jambo ya UK na Bunge la Uingereza kusheherekea Siku ya Kiswahili Duniani. Hafla hiyo inahudhuriwa na Waheshimiwa Mabalozi, Wabunge, wanazuoni, na wanadiaspora. Miongoni mwa wageni waliojumuika katika kuadhimisha siku ya…




Yesterday, I welcomed to the High Commission; Diamond Platinumz, Tanzania’s superstar singer and entrepreneur. Through his outstanding performance, I congratulated him on proudly flying Tanzania’s flag at London’s Royal Albert Hall, one of the world’s most iconic venues. We…




Jana (jumapili) nimefanya mkutano wa kwanza wa ana kwa ana na Wanadiaspora wa Tanzania wanaoishi katika Jamuhuri ya Ireland. Mkutano huo uliofanyika jijjni Dublin ulitoa nafasi kwa washiriki wa mkutano kutoa maoni na ushauri juu ya fursa zilizopo za kukuza ushirikiano wa…




On saturday, I had the honour of speaking at the 50th Anniversary of the Britain–Tanzania Society and the Tanzania Development Trust at St. James’s Church, Piccadilly, London. For half a century, BTS and TDT have shown the power of people-to-people diplomacy—touching over…



It was an honour and a privilege to meet with H.E of Tanzania yesterday. I look forward to meeting you and working with you. #Tanzania #daresalaam #harrow #Diaspora
Jana nilipata fursa ya kuonana na Bi. Anjana Patel @anjanapatel01 Mwanadiaspora wa Tanzania aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Mstahiki Meya wa Manisaa ya Harrow ya Jijini London. Bi Patel amezaliwa Tanzania na kusomea Shule ya Msingi ya Mtendeni jijini Dar es salaam. Alihamia…
The Embassy is pleased to invite all Tanzanians and members of the Tanzanian diaspora residing in Ireland to a meeting with *His Excellency Mbelwa Kairuki* , Ambassador of the United Republic of Tanzania to Ireland. 🗓 *Date:* Sunday, 22nd June 2025 🕓 *Time:* 4:00 PM – 6:00 PM…
Jana nilipata fursa ya kuonana na Bi. Anjana Patel @anjanapatel01 Mwanadiaspora wa Tanzania aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Mstahiki Meya wa Manisaa ya Harrow ya Jijini London. Bi Patel amezaliwa Tanzania na kusomea Shule ya Msingi ya Mtendeni jijini Dar es salaam. Alihamia…


A UK-registered charity, Naya Qadam, will conduct a limb rehabilitation outreach and training programme in Zanzibar in September 2025. The mission, led by Dr Viquar Qurashi and supported by UK-based Tanzanian diaspora Madam Zarina Jafferjee, will provide free prosthetic limbs to…

Asante sana Mhe. Balozi @MbelwaK. The 🇬🇧 is proud to work in partnership with 🇹🇿 to strengthen trade, support exporters & unlock new opportunities via initiates like the Horticulture Export Acceleration Programme & the Mutual Prosperity Partnership. #GoFarGoTogether
Balozi @MbelwaK aishukuru Serikali ya Uingereza kwa kufadhili programu ya kuwezesha ongezeko la mauzo ya bidhaa za maua, matunda na mbogamboga kutoka Tanzania katika soko la Uingereza (Horticulture Export Acceleration Programme). Salaam hizo amezitoa wakati wa Maonesho ya…
Thank you, Madam Secretary-General. It was a pleasure meeting with you and discussing the vision for a pan-Commonwealth scholarship initiative. Such programmes are vital for investing in our people, deepening cultural ties, and advancing inclusive development across the…
A pleasure to welcome His Excellency @MbelwaK, #Tanzania’s High Commissioner to the UK. We had a constructive discussion about a pan-#Commonwealth scholarship programme that enhances the development of our human capital and strengthens our cultural bonds.
Ninatoa pongezi za dhati kwa Leeds Swahili Community chini ya Uongozi wa Ndugu Amran kwa kuandaa mashindano ya Mpira wa Miguu yaliyoshirikisha timu za Wanadiaspora kuroka miji ya Glasgow, New Castle, Leicester, Coventry, Slough na Hunslow. Aidha, ninaipongeza sana timu ya…


A real pleasure to welcome his excellency @MbelwaK to Burmantofts and Richmond Hill today for the first ever Swahili Bonanza football tournament! Huge congratulations to all involved in its organisation and all of the players!
Ahsante sana Madee kwa kutenga muda wako kutembelea Ubalozini kubadilishana mawazo ya maendeleo na kwa zawadi nzuri ya Tshirt
Msanii wa Muziki nchini Tanzania Hamadi Ally Seneda aka Madee akutana na kufanya mazungumzo na Balozi @MbelwaK kuhusu maendeleo ya sekta ya sanaa nchini na fursa zilizopo nchini Uingereza kwa ajili ya wasanii
At #EastAfricaTradeForum, a session was held on 🇹🇿market potential in energy, infrastructure, blue economy, critical minerals & more. Led by HE @MbelwaK, @MadiniTanzania Dep. PS. Hon. Msafiri Mbibo, EA Trade Envoy @KateOsamor, Minister @Lord_Collins & other 🇹🇿 delegates.
Great milestone! ✍️@BritGeoSurvey & @GeologicalT signed an MoU to deepen partnership in geological surveying. Witnessed by: HE Amb. @MbelwaK @MadiniTanzania Dept. PS Msafiri Mbibo FCDO E. Africa Head @VickySeymour109 Joseph Mankelow @BritGeoSurvey Rep Dr. Mudeba @GeologicalT CEO