KiMs 🇰🇪
@Kimathi_One
BUSINESS | ENTREPRENEURSHIP | CPA 3 | FARMER | GOD |
Mpesa is the greatest kenyan innovation so far. Genius work.
Ladies have a funny way of coming back to your life. What is “ I miss your food” Afande please.
Don't disrespect Reggae Music.
"Kuskiza Hip-Hop lazima ukue umesoma... Lakini reggae bora uko na Marvin na nguo chafu uko sete.. Ready to hit the dance floor"😂💉
Mnasimp na paragraphs alafu mnaambiwa Thank you, tena na short form “Ty”😂💀🚶🏾
Twitter huwa ni kama wild zone... Survival for the fittest huwork fitty... Wengi wamerudi kwa mukuru kwa Zuckerberg 😂🚶🏾🙂↔️
Mwenye anajua huyu msee amwambie sitaki ufalaa bana😂
Niliona Mlachake kwa mix ya DJ Sity vile huwa anafanyia warembo adi nikaogopa bana 😂😂
Will Kenyan makangas ever see heaven?...shosho anataka kushuka unaskia akisema "shukisha huyu mrembo wa zamani💔"
In kenya we don't say "come lets have sex at my house".. We say "come visit me Tomorrow.... I'll be sick"😂😂
We are tweeting at 90k posts. 95% ni za loyals. I love you my friends.😍
Umetulia tu na stress zako alafu unaskia classmate wako anakusalimia kwa radio