Kanacho 🇰🇪
@Kanacho17
Benganated 🎸
Ile siku tuta defeat politics ndio tutajikomboa as a country 💯
Good morning friends of joan..Dm for promos and Advertisements 💯💯
Hii baridi imenifika kwa koo nimeenda kwetu nikatafutiwe bibi na shosh
If someone gave you a box containing everything you've lost in your life, what’s the FIRST thing you would look for?
You Already Know How To Make Money. You Just Scared Of The Police.😅
hizo ngoma za jabatone unaangalia video unaona nguo zako zenye zilipotea kwa hanging line
Msee wa nduthi amenirusha Kwa bumps karibu aniache Kwa highway alafu ananiuliza " broh kwani unashuka?"
Ludwig Krapf akiona Mt. Kenya wagikuyu walikuwa walikuwa wamekunywa chang'aa macho ikapotea.
Hiyo wedding ya mwepesi Kila mumama alikuwa ameweka kibeti kwa shingo
Ni disrespectful kupigia dem simu na then anapiga stori na watu wengine kwa background...huwa nakata immediately