kate
@KShikuu13019
she doesn't laugh at her hustle,, she supports it!✌🏽
Relaxing in front of an African mum is the biggest mistake you can do,,,
Enyewe kukuwa mwanaume sii rahisi😂 kichwa ya juu inatafta pesa nayo ya chini inamaliza zote😂💔🙌🙌
Ushaii ambiwa na crushie Goodnight ,then akaongeza take care Hako kafeeling unaeza ambia babako azime TV aende acheze kidogo nje 🙌😪
Shida ya kukuwa na mabess single ni eti wakipata minutes ni wewe tu wanacall🥲💔🙌😏
Madem upewe tuu chance ya one day ukuwe dume unaeza fanya what ?? Me naendea tu ex iyo jamaa naidinya sim 2 vile inafaa
Tumbo inatoa masauti hapa juu ya njaa alafu rich kheed akushow umwonyeshe kufanya ivyo,, Sinianze RAM dance saiii😣😩😪💔🙌
Watu wakipelekwa date,, Wewe uko kwa blanket unanyamba ukitoa kichwa nje kama makanga💔😏 Failure
Ambia ex kitu ukianza na "ulidhani " Mine- ulidhani sitapatana na mrija iko na veins😣
Why do parents like putting things in boys room time wame travel 💔 Like bag of cement , wheelbarrow, gunia ya makaa ,, newborn calf en hens💔🙌
Mum ananiambia hizi vitu me hufanya pia yeye alifanya😂😂 najua hajawai cheza Aviator😂 ,,,