GreenFaith Tanzania
@GreenFaithTz
A grassroots, multifaith movement rising for climate justice #Faiths4Climate #StopEACOP #KataaBombaLaMafutaLaAfrikaMasharik#StopTotalEnergies#KeepOilInTheGrond
Hey @TotalEnergies ,you have decided to remain silent about the future of youth, It's high time to turn the investment to Clean Energy other than @EACOP_ @GreenFaith_Afr @KagutaMuseveni @SuluhuSamia
In the Energy Efficiency and Conservation Act 2024,Bill No 76 on Paragraph 3 talks about Clean cooking technologies to reduce air pollution and minimize environmental impacts, Did you mean @EACOP_ ? #Faith4Climate @GreenfaithKE @GreenFaithTz @AfiegoUg @TotalEnergies
We envision a stronger, united front mobilizing faith rooted communities across Africa to rise with bold conviction. In the face of the shrinking civic space and growing climate injustice, we choose hope over silence, and action over despair. #Faiths4Climate
#StopEACOP
@TotalEnergies is fueling more than just oil it is fueling displacement,repression,ecological destruction & climate chaos 🚫 Families have been evicted without justice 🚫 lands & ecosystems are being destroyed 🚫 Dissent is being criminalized 🚫 Future generations sacrificed
Haki ya tabianchi si chaguo, ni wajibu wa kiroho." – Lynn Modester, GreenFaith Kenya 🔥 Turkana inaungua kwa jua, mifugo inakufa kwa kiu. Kama watu wa imani, hatuwezi kufumbia macho mateso haya. ✊🏾 Tunasema: Haki kwa watu, si faida kwa mafuta ghafi! #Faiths4Climate #StopEACOP

"Nikiwa mtu wa Imani, siwezi kufumbia macho mateso ya wakulima Hoima na Buliisa.” Amina Acola 👩🏾Wanawake walinyang’anywa ardhi kwa ahadi hewa. 🌽 Mashamba yao sasa yamegeuzwa njia ya mafuta. ⛔ EACOP ni dhuluma ya kimfumo. #Faiths4Climate #StopEACOP #GreenFaithAfrica

🌳 "Msitu wa Congo si mali ya kampuni za mafuta — ni zawadi ya Mungu kwa dunia nzima." – Pasteur Jean Pierre Ibucwa, GreenFaith DRC ⛽ Vitalu vya mafuta vinaharibu maisha ya watu wa asili. 🛐 Imani yetu inatuita kulinda uumbaji, si kuuza watu kwa faida. ✊🏾 #Faiths4Climate
Tabianchi ikiharibika, haibagui dini. Misikiti, makanisa, na hekalu yote huangamia pamoja." – Baraka Lenga, GF Tanzania 🛐 Imani zetu zinatufundisha kulinda uumbaji. 🔥 Lakini dunia inateketezwa kwa tamaa ya mafuta. ✊🏾 Tunadai haki ya tabianchi kwa jina la Imani! #Faiths4Climate
"Tuyatumie mamlaka ya kiroho ya imani kudai haki ya M/tabianchi, kulinda heshima ya mwanadamu, na kujenga mustakabali ambapo watu na sayari wanastawi kwa pamoja. Maana imani ikisogea, dunia hubadilika." —@PiusOko ✊🏾 Tuchukue hatua kwa ajili ya dunia yetu! #Faiths4Climate
Bold Voices,Unified Call for A Just Energy Future. Our Country Coordinators from Ghana 🇬🇭, Nigeria 🇳🇬, Tanzania 🇹🇿, Kenya 🇰🇪, and Uganda 🇺🇬 are not just speaking. They’re acting. In powerful country level presentations, they spotlighted the bold actions they’ve taken.
Ukitazama mti hauna Imani yoyote. Lakini ukiharibu mti au mazingira, madhara yake yanagusa Imani zote." – Sheikh Ibrahim Lethome Mazingira hayachagui dini. 🛐 Uharibifu wa mazingira ni uharibifu wa maisha. Soma (Qur’an 13:11) #Faiths4Climate #AMCEN2025 #AMCENat40
Haki ya tabianchi ni haki ya imani.” Wakati wa AMCEN, waumini kutoka dini mbalimbali wameungana kwa ajili ya dunia yenye usawa. #WeAreGreenFaith #Faiths4Climate
Cycling 4 just energy Transition Pedal by pedal, we sent a bold message to multinational oil giants like @TotalEnergies & @Shell It’s time to divest from destructive fossil fuel projects like EACOP & invest in clean,community centered renewable energy #StopEACOP #Faiths4Climate
#AMCEN40 When #Pedals Become a #Pulpit! When conscience takes the streets, there is no turning back, real climate justice cannot wait! #StopEACOP #StopNewFossilFuels #Faiths4ClimateJustice #Cycling4JustEnergyTransition @GreenFaith_Afr @greenfaithng1 @ecosteward1 @UNEP_Africa