Grayson Gideon
@Gplanet5
Eastafrican(馃嚬馃嚳) radio producer and creative consultant @eastafricaradio | Host @madinidotcom| Tacaids & Unicef-Tanzania @ongearadioshow
#Trustory Ukiona unafanikiwa ujue ni mjumuiko wa maelfu ya settings za vitu na kila mtu aliyekuzunguka (hata wapinzani/maadui zako). Vingine/wengine huwezi hata kuamini! Na haitokei mara nyingi maishani! Let's be humble and real馃檹馃従
Hivi unajua Fuvu la binadamu wa kale lililopatikana Oldupai (Olduvai Gorge) lina umri mrefu kuliko Adam na Hawa(Eva) ? #Kamjadala

NAOMBA USHAURI馃檹馃従, punje za Mahindi au karanga hazinisumbuagi!ila Leo nimeangusha ya korosho , ni tsh.5k na zipo chini 30! Kistaarabu nichukue hatua gani hapa wakuu?馃 #Kamjadala

SWALI: Tunga nyimbo 2 kwa kutumia "MUNGU aliumba dunia" DIAMOND : 1.MUNGU aliumba Dunia Mapenzi tangu na tangu #ukimuona 2.MUNGU aliumba Dunia na maajabu yake - #KizaziZai #WetalkMusic
Bado najiuliza! Nini kimlifanya TIMBULO kushangaa Tax Driver kuwa na manzi mkali!? "Nashangaa Mschana mzuri kama we Dada, ukamkabidhi Moyo tax draiva"馃榾馃槅馃ぃ #WetalkMusic
#Tanzania KINDA LANGU LA RANGI YA CHUNGWA" #Kenya UA LANGU LA KISHUA.
Chupa ya chai kidhungu ni Flask . Thermos ni brand. Nina umri wa siku moja tangu nijue hili.Tutajie umri wako馃槃馃槃#Kamjadala

Kumbe Story ya Dogo ni Script! Nawaonea huruma mliomuonea huruma!馃槃馃ぃ #WetalkMusic
Young killer pia ni rapa flani noma, kiroho safi - #YoungLunya #WetalkMusic
Hivi kisheria kwa hapa Tanzania u YOUNG KING unatolewaje? Maana LUNYA alisound kama ni kitu mnapeana Geto kihuni! " Na ningekuwa nataka u-young King Ningeshamwambia father Country anipatie" 馃槂馃槄 #WetalkMusic
TUELEWANE, ni HAKI ya msanii kujibu au kutojibu SWALI lolote on air . Ni HAKI ya mtangazaji kumuondoa huyo msanii on air. Your Brand, my airtime! #Kamjadala
Mpalestina BONGE pekee aliyebaki duniani na ambaye hajaongea chochote kuhusu kinachoendelea kwa ndugu zake - #DaveChappelle 馃槀馃ぃ

Punguzeni kumsifia Huyu #RichMsafi . Leo kanipigia na kuniingiza DENI! kamuahidi #Boshoo Live OnAir 'tuta' nunua mixtape yake mpya kwa 70k !馃HapaNawaza kuwacheki @YasTanzania_ wadhamini wa muda ahadi ilipotolewa TUYAJENGE!馃 #PlanetBongo #WetalkMusic
Trustory,Ujio wa Digital Ulifanya mastaa/wasanii WAKAGUNDUA hawahitaji media(radio&tv) kufikia mashabiki wao na media WAKAGUNDUA hawahitaji mastaa kufanya contents Kali!Baadaye sera za digital Platforms zinaanza kubadilika,sasa sijui UMEGUNDUA Nini! #Kamjadala
Uchunguzi mpya umebaini 'huenda' RECHO aliyepata Ajali na SOGGYDOGGY wakiwa safarini, ni dadaake MAARIFA wa MMB "Sikai Dar, Mkoa wa Pwani kwangu ni KIBAHA"馃槃馃ぃ#WetalkMusic