Freeman
@Freeman_says
I Tweet for Fun 🇰🇪🇰🇪
Naeza taka kuoa bibi mnono btw petite wacha wakuwe wa road trips 😂😂
Don't rush a relationship, be friends first and build a bond before anything!!!!.
Huyu ananiuliza "tell me why you love me?" Acha nione Chatgpt inasema nini.
Ubaya wako ni kufikiria ati juu haucheat yeye pia hacheat😂💔
Mdem wangu ndo ako on high demand hii mtaa,,na ni kama nikicheza mtanitoa usukani guys😂🤌
Wah kuna dem ilikuwa niingie DM leo usiku wa manane lakini nimeskia kwa space background katoto kanajifunza kuongea
Na pia kama unaishi place kuna net ya Airtel kukiwa na vacant houses mnapost huku. Msiache tuteswe tu na safcom
Kinuthia ukipatana na yeye masaa yake zikiwa zimegrab unaweza jipata ulimteka buana, ladies buana learn from Kinuthia how to take good care of your bodies
Ukilewa normalize kujiongelesha ndio msee wa kupigana nyongolo adhani mko mbogi
ikikataa kuingia huwa mnapakanga mate , ama hii uzi ya sindano nitaingiza aje 🚮
ugali mayai inashangaa nilienda wapi kumbe nilipata kazi ya hoteli😂